Baada ya Kikwete sasa kiongozi wa EAC ni Kenyatta

Na Rais wa China alivyokuja tu bongo wkt anaondoka vyombo vya kimataifa vikaripoti aliondoka na pembe za ndovu za kutosha,hata mimi ningekua rais wa China ningekuja Bongo daily.

dodge
 
Ndie kiongozi smartest kuliko wote EAC kuanzia speech,public speaking,reasoning,speech zisizochosha,civilized mwenye exposure
Ameacha kulewa hadharani siku hizi?

Uzuri Kenyatta na ufisadi hua ni damu damu na ameshashindwa kuudhibiti.

dodge
 
Watu wangekuwa na utulivu vichwani wangekuelewa, bahati mbaya vijana tumekuwa ni vilaza kupindukia, hata kureason kidogo tu hatuwezi, siasa pia zimeharibu mbongo za vijana walio wengi.
Tutakuwa na taifa la mambumbumbu huko mbeleni kama tusipochukua tahadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia rahisi na nyepesi ya kutomrudisha huyu jamaa ni kumlazimisha uchaguzi uwe huru na haki chini ya uangalizi wa jumuia za kimataifa tu.Kura zijumlishe kwa uangalizi wa vyama vyote na wajumbe Wa jumuia za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…