Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hatarishi sana kwa kweli.Usafiri hatarishi sana huu.
Abiria Hawana lifejackets na chombo kimeoverload. Mcheki jamaa wa nyuma karibia anagusa maji.
Serikali inataka uiokee ajali ndiyo wapige marufuku. Si wampe Bahresa kazi kama wao wameshindwa asee?
ChaiHatarishi sana kwa kweli.
Wanaopanda humo watakuwa wazoefu si bure.
Ya mdalasini na Iriki.Chai
Mama Abdul yuko angani na kula caviar nchi za watu!Baada ya kivuko kupata changamoto, wasajiriamali wamejiongeza, huu ndio usafiri wa dharura huko Kigamboni kwa ambao wanaona darajani ni mbali. Mitano tena
View attachment 3021406
lete ushahidi wa vipi anaharibu huo uchumi, la sivyo unaonyesha jinsi ulivyo na roho mbaya ya mtu maskini asiyependa maendeleo.Uyo bakharesa ndiye anaehujumu Uchumi wanaharibu kwa makusudi ili wajukuu zake waingize vivuko wapige pesa. Usalama wa Taifa wamebaki kuuza mahindi tu.
huu ni uongo na upotoshaji dhahiri kabisa. Umepita kule kipindi cha asubuhi na jioni ukaona idadi ya magari inayotumia daraja lile? Wewe unaonyesha dhahiri huishi maeneo ya kigamboni na ndiyo mana unasema halijasaidia cho chote.Daraja la nyerere halijasaidia chochote ni sawa na kuzunguka Kongowe kuja kigamboni tu,nalo lilikuwa halinza ulazima.
Hayo mahindi una uhakika ukiulizwa kijiwe chake utakionesha ndugu?? Heshim kaz za watu watu wanawaiibika wana familia zao wana heshima zao watu wa mungu,sasa kivuko wap na wap sinkipo gerejiUyo bakharesa ndiye anaehujumu Uchumi wanaharibu kwa makusudi ili wajukuu zake waingize vivuko wapige pesa. Usalama wa Taifa wamebaki kuuza mahindi tu.
Hao wote hata ukibiduka watakuwa wamepunguziwa mwendo tu wanaogelea hadi ng,amboHatarishi sana kwa kweli.
Wanaopanda humo watakuwa wazoefu si bure.
Hivi mbunge wa kigamboni anafanya nini? Anafahamu yanayoendelea? Bashite na mapungufu yake hili swala lingeshaisha mapema?Baada ya kivuko kupata changamoto, wasajiriamali wamejiongeza, huu ndio usafiri wa dharura huko Kigamboni kwa ambao wanaona darajani ni mbali. Mitano tena
View attachment 3021406
Ulitaka aje awabebe au aweke gari yake hapo. Hiyo ni itilafu. Imetokea emergency naa boat hizo zikasaidia. Hakuna ubaya. Mbona mbudya tunavuka na boat, 30- 45 mins and it's fineHivi mbunge wa kigamboni anafanya nini? Anafahamu yanayoendelea? Bashite na mapungufu yake hili swala lingeshaisha mapema?
huu ni uongo na upotoshaji dhahiri kabisa. Umepita kule kipindi cha asubuhi na jioni ukaona idadi ya magari inayotumia daraja lile? Wewe unaonyesha dhahiri huishi maeneo ya kigamboni na ndiyo mana unasema halijasaidia cho chote.
Yaani nyinyi ni lazima mukosoe hata kwa kitu ambacho kina manufaa kwa wananchi.
Nani mchawi wetu?Baada ya kivuko kupata changamoto, wasajiriamali wamejiongeza, huu ndio usafiri wa dharura huko Kigamboni kwa ambao wanaona darajani ni mbali. Mitano tena
View attachment 3021406