Baada ya kivuko kupata changamoto, mitumbwi yatumika kuvuka Kigamboni

Baada ya kivuko kupata changamoto, mitumbwi yatumika kuvuka Kigamboni

Hii nchi as long as bado iko chini ya ccm tusitegemee chochote cha maana wakuu.

Kivuko kipya hakizidi bilioni 20, hapo ilipaswa viwepo 2 vya kisasa na vipya, ajabu hivyo vilivyopo ni vya miaka 20+ iliyopita. Bilioni 20 hawana ila Bashe anajipigia zaidi ya bilioni 100 yeye peke yake. Sasa chukua mawaziri waliopo wote, makatibu wakuu, wakurugenzi wa halmashauri, wakurugenzi ama wakuu wa mashirika ama taasisi za umma,

Mwendokasi imekufa tumerudi kwenye Daladala, kivuko kimekufa kumerudi kwenye Mitumbwi, ndege zimekufa sasa tunatumia mabasi na zote hizo zinauwawa kwa idadi kubwa ya wateja. Ni Tanzania pekee hapa Duniani ambapo biashara hufa kwa sababu ya kuelemewa na idadi kubwa ya wateja. Tunasubiri treni nayo ife tukae tutulie tuangaliane.
 
Hao wamiliki wa mitumbwi walipe kodi kulingana na idadi ya abiria wanaopata mana hatuwezi kuwa na nchi ambayo mama anaupiga mwingi halafu wananchi wamebweteka.

Alisikika waziri wa fedha akisema hayo ni mawazo ya wananchi.
 
Uyo bakharesa ndiye anaehujumu Uchumi wanaharibu kwa makusudi ili wajukuu zake waingize vivuko wapige pesa. Usalama wa Taifa wamebaki kuuza mahindi tu.
lete ushahidi wa vipi anaharibu huo uchumi, la sivyo unaonyesha jinsi ulivyo na roho mbaya ya mtu maskini asiyependa maendeleo.
 
Daraja la nyerere halijasaidia chochote ni sawa na kuzunguka Kongowe kuja kigamboni tu,nalo lilikuwa halinza ulazima.
huu ni uongo na upotoshaji dhahiri kabisa. Umepita kule kipindi cha asubuhi na jioni ukaona idadi ya magari inayotumia daraja lile? Wewe unaonyesha dhahiri huishi maeneo ya kigamboni na ndiyo mana unasema halijasaidia cho chote.

Yaani nyinyi ni lazima mukosoe hata kwa kitu ambacho kina manufaa kwa wananchi.
 
Hata kusema mtu unashikwa hasira tu Jiwe mpaka anaondoka katachia vivuko vitatu viwili vipya kimoja kilikarabatiwa lakini hata miaka mitano haijaisha vyote vimekufilia mbali na pale pesa wanayo kusanya ni nyingi sana sijui inaenda wapi.Usafiri wa hivyo viboti ni hatari sana hasa kipindi hivi kuna upepo bahari inakua na mawimbi makubwa Mungu tu alisaidia maana ningekua nimekufa maji sitaki kuvisikia ni bora nikazinguka darajani lakini sio kuuza roho pale.
 
Uyo bakharesa ndiye anaehujumu Uchumi wanaharibu kwa makusudi ili wajukuu zake waingize vivuko wapige pesa. Usalama wa Taifa wamebaki kuuza mahindi tu.
Hayo mahindi una uhakika ukiulizwa kijiwe chake utakionesha ndugu?? Heshim kaz za watu watu wanawaiibika wana familia zao wana heshima zao watu wa mungu,sasa kivuko wap na wap sinkipo gereji
 
Fikiria Makamba anatumia fedha za NSSF kujenga nyumba ya kukaa panya pale Nairobi under ccm hakuna kitu
 
Hivi mbunge wa kigamboni anafanya nini? Anafahamu yanayoendelea? Bashite na mapungufu yake hili swala lingeshaisha mapema?
Ulitaka aje awabebe au aweke gari yake hapo. Hiyo ni itilafu. Imetokea emergency naa boat hizo zikasaidia. Hakuna ubaya. Mbona mbudya tunavuka na boat, 30- 45 mins and it's fine
 
huu ni uongo na upotoshaji dhahiri kabisa. Umepita kule kipindi cha asubuhi na jioni ukaona idadi ya magari inayotumia daraja lile? Wewe unaonyesha dhahiri huishi maeneo ya kigamboni na ndiyo mana unasema halijasaidia cho chote.

Yaani nyinyi ni lazima mukosoe hata kwa kitu ambacho kina manufaa kwa wananchi.

It seems haujui kitu kinachoitwa LOGIC ,Je ujenzi wa Daraja la nyerere umesaidia kutatua changamoto ya kivuko kigamboni? Kama limesaidi mitumbwi ya nini? Hivi unatarajia mtu anayefanya kazi CRDB posta apite daraja la nyerere? kama daraja lingekuwa mbadara malalamiko yasingekuwepo.

Watu wameandaa proposal ya ujenzi wapige 20% maisha yaendelee tu.
 
Back
Top Bottom