Baada ya kiwanda kuwaka moto GSM wasema “Tumepata hasara kubwa sana, hakuna kilichosalia"

Huu mchezo hauhitaji hasira naona wameanza sukuma kete. Is this a councidence? Maybe yes may be no!
Wangewahi kutafuta footprint kwenye cctv zao, anaweza kuonekana mtu kama kule kwenye compound ya mosquito scorpion Ddm, in few minutes akaonekana Morogoro
 
Ina maana hata kununua gari la zimamoto la milioni 30 tu linawashinda
 
Kiwanda, hotel, ghorofa kuungua ni uzembe wa mmiliki inatakiwa ashtakiwe kala dili Ili alipwe bima.
Unamiliki mtaji zaidi ya bilioni unashindwa vipi kuweka mfumo wa zimamoto.
 
Kwel zimamoto wasilaumiwe hta kidgo Kwa aina ya vifaa walivyonavyo.. mji mkuu Kama dsm magari ya zimamoto Yana ukubwa ambao haulingan na mahitaji Halisi. Kiwanda uende kuzima moto Kwa aina ya gari tulizonazo hapana aise. Zimamoto wataendelea kubakia ndugu watazamaji hadi pale serikal itakapoamua kuwekeza kwenye hilo.
 
Sasa mkuu wao wakilipwa na bima wakati wanalipia premium wenyewe wewe unaathirika vipi? Maana bima ni michango ya watu tofauti tofauti kwenye common pool
 
Ni utapiamlo wa akili kuwekeza Afrika.Imagine mwekezaji akipishana kauli na 'watu' wa serikali linalomkuta ni 'watu' wa serikali kuja kupiga kiberiti kiwanda chake😂😂😂
 
Reactions: Auz
Ni utapiamlo wa akili kuwekeza Afrika.Imagine mwekezaji akipishana kauli na 'watu' wa serikali linalomkuta ni 'watu' wa serikali kuja kupiga kiberiti kiwanda chake[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa akili zako unaamini ni watu waserikali ndo wanaohusika na huo moto?
 
Kwann Masoko, viwanda, majengo, nk mengi uwaka moto pindi Hakuna watu yaani sio siku Kazi au mda wa biashara ukipata jibu hili umepata jibu kwann Masoko, viwanda, majengo yanaungua, moto sio kichaa ushindwe dhibitika mwanzoni.
Mtu una mali ya mabilioni bado una mawazo ya kutegmea fire watoke fire ndo waje wakudhibitie moto wako, wakati kuna mifumo kibao ya kuzimia moto tena ya gharama nafuu.
Ina maana hata kununua simtank la lita elf 10 plus kutandaza mabomba chini huwezi huwezi.
 
Bima watatumia lini hela zao? hapo ndipo inapokuja faida ya Bima kubwa.
 
Wale ndugu zetu maalufu wa kupokea wageni wasiyowahusu wanarudi kulekulere.

Changia changia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…