Ningekuwa serikali,huu mchezo ningeuchimba mpaka nijue kiini cha yote haya.
Makonda ana matatizo yake lakini,ninaona dalili za GSM kuwa mafia sana.
Ni mtu mpumbavu pekee ambaye atahisi Makonda ndiye kachoma.Na ninajua kwa nchi hii wapumbavu ni wengi wataamini kuwa Makonda ndiye kachoma kiwanda.Hawa GSM walijua hili.
Wao hawana hasara kwa sababu watalipwa mabilioni na bima.
Ila watu kama hawa,ni wabaya sana maana wanaonesha hawadhibitiki.
Na kitendo cha wao kujiingiza yanga,basi watanzania tutaona kila aina ya ushenzi kutoka kwa watu hawa.