Baada ya kiwanda kuwaka moto GSM wasema “Tumepata hasara kubwa sana, hakuna kilichosalia"

Kwani GSM amesema hivyo au unahisi tu??.
 
Zipo pickup za lita 2000,So si lazima ununue gari la milioni 500 japo unaweza.
Wewe ni mtaalamu wa Zimamoto??.

Kweli kuna Gari la Zimamoto linalouzwa milioni 30?,

Unajua gari la Zimamoto linatakiwa na sifa zipi?,

Vitu gani vinakuwepo kwenye gari la Zimamoto??.
 
Wewe ni mtaalamu wa Zimamoto??. Kweli kuna Gari la Zimamoto linalouzwa milioni 30?, Unajua gari la Zimamoto linatakiwa na sifa zipi?,Vitu gani vinakuwepo kwenye gari la Zimamoto??.
Sasa vile vipick up vya kuzimia moto vitazidi milioni 30 kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…