Baada ya kongamano lake kufana Tanzania,Wakenya wamlilia Prophet Lovy. ( Nigeria,South Africa, Ghana nao waomba akafanye mkutano nchini mwao )

Baada ya kongamano lake kufana Tanzania,Wakenya wamlilia Prophet Lovy. ( Nigeria,South Africa, Ghana nao waomba akafanye mkutano nchini mwao )

Huu ujinga na upumbavu wa kutengenezwa ili kutawaliwa na kufanywa watumwa kiurahisi miaka ile, umebakia Afrika tu.

Wenzetu wa mabara mengine vikiwemo vizazi vya waliotengeneza dini hizi wameachana na upumbavu huu miaka mingi sana, hali iliyopelekea nchi zao na wananchi wao kupiga hatua kielimu na kimikakati ya maisha. Wenzetu waliacha ujinga wa kutegemea miujiza kujipatia kipato, badala yake walijikita katika elimu, kufanya kaz kwa bidii na wengine kujikita katika biashara zilizowaletea mafanikio makubwa.

Afrika ni bara la giza na la hovyo katika ulimwe mzima. Ndiomaan kila takataka za kiimani, magonjwa na vita vinaletwa huku, na sisi tunavipokea na kufurahia ujinga huo.
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    45.6 KB · Views: 6
Sa Si Ndio!!wote ni wake wewe ina ku'uma nini??usijivike utimilifu ambao huna hata chembe na hio ni kwa kila kiumbe hakuna kilicho Timilifu,,Una hukumu kama nani wewe??
 
kwahiyo wewe mleta mada unaamini yule jamaa nae ni prophet?
 
Back
Top Bottom