sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #41
✔️✔️✔️✔️✔️Malezi ya mtoto ni issue ya kubalance tu,
Usimpe sana raha wala asipate tabu sana,kikubwa awe na uwezo wa kuishi kwenye hali zote mbili,
Kama tunavyojua kua life is very short,ni lazima mtoto umuandae kuishi maisha hata kama Mungu atakuchukua,
Usimpe mtoto kila akitakacho wala usimnyime kila akitakacho
Hii kitu mbona si ngeni?? Nimejiuliza kinyama mpaka nikahisi nimeshakuwa na uwezo wa kuiona kesho.Toa credit kwa mleta uzi. Haya ni marudio.
Mods unganisheni na original thread.
Duh dk 25, hapa siku support kabisaSchoolbus nliacha kulipia maana shule ipo karibu tu kutembea ni dakika 25
Yes ni mimi nliyeileta, saizi nazidi kuona matunda zaidiHii stori ni kama ilishawekwa humu
Unashangaa dakika 25 mkuu?? kuna watoto ambao wanatembea hadi saa zima,Duh dk 25, hapa siku support kabisa
Apewe Kinoge tuMnaosema usimpe mtoto tabu mnamaana gan?
Sijashangaa mkuu, ila sidhani kama hii ina matokeo yoyote chanya kwa mtotoUnashangaa dakika 25 mkuu?? kuna watoto ambao wanatembea hadi saa zima,
Ngoja nikutumie yangu PMKindly go to bed.
Afu iyo pic ni wewe ama umejiongeza Ili sisi kina Karucee tupitage tukikukonyeza?
Sasa ndugu yangu unanitumia Ili nikutamani au?Ngoja nikutumie yangu PM
Vyovyote utakavyo amua kufanyaSasa ndugu yangu unanitumia Ili nikutamani au?
Hahahaa.Vyovyote utakavyo amua kufanya
Devil is lieHahahaa.
Hapana Mkuu usitume.
Kama namuona Mr Devil hachezagi mbali.
Kumbe eehDevil is lie
Karucee trust me
Thanks and goodnight young man.Yeah
Usiku mwema, kwako super lady ulale unono