Wanaume tuna move on kibigwa sana😅
Ahaaa hivi ni Kwa nini??
Kwa sisi vidume pombe ndio mpenzi wa kweli , kwenu nyie je?Ahaaa hivi ni Kwa nini??
Sema wanawake usipozinduliwa na mwanaume mwingine unateseka sana.so inabidi kupeana Tu kuondoa nuksiWanaume tuna move on kibigwa sana😅
Sasa hapo ndio mnakoseaSema wanawake usipozinduliwa na mwanaume mwingine unateseka sana.so inabidi kupeana Tu kuondoa nuksi
😂 nikuprintie list au unanijaribu kinamna..Kwani mimi nishawahi kua na Ex... Mimi ni ex wa nani?
Hiyo itakua list yako ya mchongo...Hahaha😂 nikuprintie list au unanijaribu kinamna..
Inasaidia?Sema wanawake usipozinduliwa na mwanaume mwingine unateseka sana.so inabidi kupeana Tu kuondoa nuksi
Ma… 😁Hiyo itakua list yako ya mchongo...Hahaha
Yeah siku hizi watu hawaachani kwa kuambiana mdogo mdogo tu hakuna text wala simu wiki mwezi miakaMimi hakuna mpenzi ambae nilishawahi kuachana nae ni kwamba kila mmoja anakua bize tu na mishe zake
Ngoja nimalizie sentensi yako... Ma.tako yako...Ma… 😁