Baada ya kuachana na ex wako ulifanya nini ili kulipiza kisasi 🤔

Baada ya kuachana na ex wako ulifanya nini ili kulipiza kisasi 🤔

Tusiokua na may Ex Tuna comment wapiii??
😂😂😂😂😂😂
 
Mimi nikifanikiwa ku move on ndo imeishaa.
Usije ukathubutu ukanikuta njiani ukanisalimia,Nakuokotea mawe. Sitaki mazoea tukishamalizana.
Hapo mkuu ukitamaniwa na X wako, ujue kupanch hilo jaribio mpaka utumie nguvu za ziada hasa.

Mtu aliyewahi kukuvua nguo zako ni msiri wako wa milele, hivyo kumkataa lazima utumie nguvu na maarifa mengine.

Pia uelewe kwamba kuzindua penzi lililocease kuna raha yake na uzuri wake.

Penz la X ni tamu kuliko la halali, uje ujaribu utanambia.

Halafu kurudiana na X ni aina ya kutoa msamaha na siyo kujitweza kama wengi wanavyodhani, samehe saba mara sabini, ndiyo maandiko yanatutaka.

Mkirudiana, mnakuwa tayari mmejisahihisha na kujirekebisha pakubwa, bond yenu yaweza isivunjike tena!
 
Back
Top Bottom