Baada ya kuachana na ex wako ulifanya nini ili kulipiza kisasi 🤔

Baada ya kuachana na ex wako ulifanya nini ili kulipiza kisasi 🤔

Mimi nikifanikiwa ku move on mdo imeishaa, usije ukathubutu ukanikuta njiani ukanisalimia nakuokotea mawe. Sitaki mazoea tukishamalizana.
Kuna kuachana kwa uzuri na Kuna kuachana kwa ubaya.

Let's say distance, Time, business,Job ndio sababu ya kuwatenganisha na mlipendana hapo mmeachana vizuri & vice versa is True.

NB. DISTANCE LOVE IS AN IMAGINATION.
 
Mimi nikiachana na mtu huwa natulia kwanza, hii ya kuhamia haraka kwa mtu mwingine ni rahisi kuingia chaka lenye miiba.
Yeah utulivu huja na jibu zuri zaidi , kukurupuka ndio unazidi kulikoroga zaidi
 
Kisasi cha nini kama mapenzi yameisha kubali ukweli endelea na maisha mengine.
 
Kisasi cha nini kama mapenzi yameisha kubali ukweli endelea na maisha mengine.
Kabisa wanaofanya kisasi ni wale wanaoshindwa kuukubali ukweli, hasa ukute huyo x baby wako alikua boss wako kazini utajuta , ilishanikuta hii ikabidi niache na hiyo kazi kabisa
 
Kabisa wanaofanya kisasi ni wale wanaoshindwa kuukubali ukweli, hasa ukute huyo x baby wako alikua boss wako kazini utajuta , ilishanikuta hii ikabidi niache na hiyo kazi kabisa
Uliwezaje kudate mtu mnafanya kazi pamoja? Mimi siwezi kudate mtu tunashinda wote muda mwingi siku kikiwaka kazi hazifanyiki.
 
Ulifanya nini ili kulipiza kisasi baada ya kuachana na ex wako 🤔
Wewe badala ya kufanya jitihada za ku make yourself better in all aspects of life, unawaza namna ya kulipiza kisasi. Shenzy type.
 
Back
Top Bottom