Nilinunua kanga na vitenge nikafua usiku kesho yake asbh nikatoka nje fasta kuanila nikanunua na viatu bya kike nikaweka mlangoni basi wapangaji wakampigia cm wakimpa umbea kumbe wote nimewashika😄Ulifanya nini ili kulipiza kisasi baada ya kuachana na ex wako 🤔
Tuliachana kwa amaniUlifanya nini ili kulipiza kisasi baada ya kuachana na ex wako 🤔
Kwa hiyo huyu unampa kama kulipiza kisasi?Yes .from there sasa unaweza kuanza mahusiano mapya
Ina ukweriiii?? Apostle TUPE ushuhudaa..Ahaaa hivi ni Kwa nini??
Kuna kuachana kwa uzuri na Kuna kuachana kwa ubaya.Mimi nikifanikiwa ku move on mdo imeishaa, usije ukathubutu ukanikuta njiani ukanisalimia nakuokotea mawe. Sitaki mazoea tukishamalizana.
Mimi sina nloachana nae kwa uzuri wala sitegemei, so hapa kamaKuna kuachana kwa uzuri na Kuna kuachana kwa ubaya.
Let's say distance, Time, business,Job ndio sababu ya kuwatenganisha na mlipendana hapo mmeachana vizuri & vice versa is True.
NB. DISTANCE LOVE IS AN IMAGINATION.
😁 Mimi ma ex woteeeeeee tuna achanaga kwa uzuri...Mimi sina nloachana nae kwa uzuri wala sitegemei, so hapa kama
Mbwai mbwai tu 😃
Huyo ndo mwenyewe sasa😅😅 yupo kama vicoba😁 Mimi ma ex woteeeeeee tuna achanaga kwa uzuri...
Kuna ex mmoja huyo ni kausha DAMU😂😂😂
😊 😁 Hapana kwa kweriiiiiHuyo ndo mwenyewe sasa😅😅 yupo kama vicoba
Mimi nikiachana na mtu huwa natulia kwanza, hii ya kuhamia haraka kwa mtu mwingine ni rahisi kuingia chaka lenye miiba.Sasa hapo ndio mnakosea
Yeah utulivu huja na jibu zuri zaidi , kukurupuka ndio unazidi kulikoroga zaidiMimi nikiachana na mtu huwa natulia kwanza, hii ya kuhamia haraka kwa mtu mwingine ni rahisi kuingia chaka lenye miiba.
Kabisa wanaofanya kisasi ni wale wanaoshindwa kuukubali ukweli, hasa ukute huyo x baby wako alikua boss wako kazini utajuta , ilishanikuta hii ikabidi niache na hiyo kazi kabisaKisasi cha nini kama mapenzi yameisha kubali ukweli endelea na maisha mengine.
Uliwezaje kudate mtu mnafanya kazi pamoja? Mimi siwezi kudate mtu tunashinda wote muda mwingi siku kikiwaka kazi hazifanyiki.Kabisa wanaofanya kisasi ni wale wanaoshindwa kuukubali ukweli, hasa ukute huyo x baby wako alikua boss wako kazini utajuta , ilishanikuta hii ikabidi niache na hiyo kazi kabisa
Haikufaa ndio maana nilijitoa haraka sanaUliwezaje kudate mtu mnafanya kazi pamoja? Mimi siwezi kudate mtu tunashinda wote muda mwingi siku kikiwaka kazi hazifanyiki.
Utilise kisasi, endelea na maisha yako.Ulifanya nini ili kulipiza kisasi baada ya kuachana na ex wako 🤔
Wewe badala ya kufanya jitihada za ku make yourself better in all aspects of life, unawaza namna ya kulipiza kisasi. Shenzy type.Ulifanya nini ili kulipiza kisasi baada ya kuachana na ex wako 🤔