Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu

Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu

Naona umeuliza swali zuri Ila mwishoni umeambatanisha kejeri kwamba zile coins bado anazo.

Nenda umtafute umuulze kama bado anazo nilitegemea kukuutana na kejeri kama hizi
Haupendi challenge na uko na hasira and you can't control it
 
Vyovyote iwavyo huo haukua uamuzi mzuri kwa mtoto na trust me umeshaharibu maisha ya mtoto kwa asilimia kadhaa.....matokeo sio sasa ni mbele
Ni kweli mama atamuambia mtoto wake baba yako amekutelekeza ...... mtoto atakubaliana na maneno ya mama yake kwa jinsi hali inavyoenda
 
Badilisha Hilo Jina unalotumia mkuu. El Elyon is an ineffable name. It means Lord God the Most High. Are you the most high? Laana nyingine huwa mnajitakia wenyewe
Acha huo uzee unakusumbua kwani Mungu si Baba yetu?? kuna ubaya gani mie kutumia jina la Baba yangu naempenda??? wapi kunako Biblia kunasema ukijiita kwa jina langu laana inakupata??....msituletete mafundisho ya kuzimu humu
 
Shari yako mkuu. Just mark my words. Hilo Jina wayahudi wenyewe hata kulitamka Tu hawalitamki hovyo hovyo wewe umeona ndo ulitumie kama user name at jf ?
Hao mazungu wa middle east ni wayahudi wako wewe!!
 
Hapo kwa Mnyaturu, siku sio nyingi utapandisha uzi mpya!

Anyway, nakutakia kheri!
 
Back
Top Bottom