Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
#HABARI: Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Safaricom imemteua Michael Joseph kuwa Mkurugenzi wa Mpito, kuziba nafasi ya Bob Collymore aliyefariki dunia siku ya Julai 1, nyumbani kwake Jijini Nairobi baada ya kuugua kwa muda mrefu. https://t.co/s79vAwNZ6pNakumbuka tukipigiwa makelele hapa eti Dada Silvya mulinge ni akili kubwa na anafaa kuongoza Vodacom Tz.
Bahati nzuri TISS ya tanzania ikamchunguza kwa makini na kubaini kwamba ni Mlevi, Muuaji wa watoto na taaluma yake ni ya foodscience (Taaluma ya kuhakikisha watu wanakula balanced diet😁😁)
Sasa kama mnaona hii ni akili kubwa, wacha basi achukue kazi ya bob
👇👇👇👇
![]()
Vodacom Tanzania says Sylvia Mulinge denied work permit
Mr Hisham Hendi is the mobile company’s acting chief executive officer.www.businessdailyafrica.com