Baada ya kuajiriwa ajira rasmi aliniambia hawezi kuwa kwenye mahusiano na mfanyabiashara anayejitafuta

Baada ya kuajiriwa ajira rasmi aliniambia hawezi kuwa kwenye mahusiano na mfanyabiashara anayejitafuta

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
 
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita. akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
akunyimae kunde akupunguzia ushuzi endelea mbele, atakuja kushituka biashara yako imekuwa yeye mshahara wake uko pale pale
 
Usipempende mwanamke Kwa kumuonea huruma .

Kuna watu huwa wanatongoza jobless wa kike akiamini akimpata atamtuliza.

Jaribu kutafuta classic women ambao ni wafanya Biashara hata mkiachana utakuwa ume-gain mambo mengi kuhusu maisha na Biashara .

Don't date with broke women
 
deed5ff644655f7b99ba1ff6559532f0.jpg
 
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Daah! Sasa wanataka tufanye nini?
Huku nje tunaambiwa Tafuta hela. Ukizitafuta unaambiwa bado unajitafuta😆😆😆
 
Back
Top Bottom