Baada ya kuajiriwa ajira rasmi aliniambia hawezi kuwa kwenye mahusiano na mfanyabiashara anayejitafuta

Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Ndugu.
1. Hata siku Moja upaswi kumpenda mwanamke.
2.Usimpe kipaumbele mwanamke
usifanye Jambo lolote kubwa kukuzidi kwa ajiri ya mwanamke,
Kwa mfano kama kipato chako ni 1000. Basi mwanamke mpe Shilingi 20. Una bakiwa na 980 Toa kiasi Kigo sana ambacho hakita kuuma siku akighairi safari na wewe.
4. Zingatia ukae ukijua kua wanawake ni wabinafsi sana, na wanapenda kutumia vya wenzao vyakwao Vigumu
5. Usiwe Mwepesi kutoa pesa au kitu chochote kwa mwanamke, muweke kama ziada kipaumbele jiweke wewe kwenye Maisha yako.
 
Kijana mwenzangu usitake ushauri mwingiiii

Ila zingatia hili

Mwanamke wa ndoto zako huja katika maisha yko bila ya ww kutegemea wala yy
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
 
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Nampongeza sana huyo binti. Vijana wazeni maendeleo sio kila muda kuwaza papuchi. Hayo maneno yake yawe chachu ya wewe kukaza na kusonga mbele. Au umeshaamua kuwa mfanyabiashara ndogondogo maisha yako yote?
 
"Baada ya wakinga kukataa mahari yangu niliamua haya yafuatayo"​

Mkuu huyu ni mwingine?
Utaiweza JF Kwa 👇

Screenshot_20241216-075859.jpg
 
Back
Top Bottom