Baada ya kuajiriwa ajira rasmi aliniambia hawezi kuwa kwenye mahusiano na mfanyabiashara anayejitafuta

Baada ya kuajiriwa ajira rasmi aliniambia hawezi kuwa kwenye mahusiano na mfanyabiashara anayejitafuta

Sijui kwa nini kwa vijana wadogo, inakuwa ni ngumu kumtema mtu anaeye kupa stress🤔
Sacrifices mkuu. Mtu anashindia miogo na mo energy kila siku ili demu apendeze, ale, avae na alale vizuri.. akikumbuka sacrifices zake kukubali mahusiano yaishe ni ngumu. Waliowekeza kiasi ambacho hawana moyo wa kuhimili maumivu ya kukipoteza ndio wanachinjana mapanga kama Jose na Penny kule Goba.
 
Vipi akija baada ya kufikisha miaka 45?
Kijana mwenzangu usitake ushauri mwingiiii

Ila zingatia hili

Mwanamke wa ndoto zako huja katika maisha yko bila ya ww kutegemea wala yy
 
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Seen.
 
Back
Top Bottom