Baada ya kuajiriwa ajira rasmi aliniambia hawezi kuwa kwenye mahusiano na mfanyabiashara anayejitafuta

Likuepukalo Lina heri na wewe.mpotezee
Kicheche akikukimbia wewe muache ,atarudi kesho analia
Huwa nasema kilicho chako kitarudi, maybe itachukua muda but kitarudi
Vijana wengi wana invest sana kwa hiii jinsia na kujisahau wao, na hii jinsia huwa wakishafanikiwa ni kama anakuona choo.(japo si wote)
Aende mbele, when time is right mambo yatajipa, hato force tena
 
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Unazingua braza akia MUNGU Tena, achana nae uyo wewe Fanya biashara, business is way onto richest atakukumbuka akiaza una real estate kibao mda uo yeye ana nyumba ya mkopo CRDB wanautaka kuiuza unainunua kumkomoa dadek🐐
 
Kuna weleta uzi kila wiki wanachangamoto za kuacha, kubadilika jinsia, kuacha na kuachwa.
Wengine humu sijui ni transgender

Una matatizo some how?? Dou think kil mtu ana mda wa kujoke
 
sasa serikalini kuna hela gani ya maana hadi achanganyikiwe hivyo we endelea na mishe zako
 
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara

Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Ulimsonesha?
 
Safi
 
Pole huyo keshakutana na wachomekea shati na wapiga perfume,sasa we mfanyabiashara shati unachomolea, kutwa kuhamisha mamizigo kutoka store kupeleka dukani,wakati hata hiyo perfume yenyewe unaona inakula mtaji...
 
Back
Top Bottom