Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tunawambia vijana usiweleze kwa mwanamke maana yeye hakuna anachowekeza kwako zaidi ya hisia tu ambazo zinabadilika muda wowote.Hicho kikombe ni lazima kila mwanaume akinywe, ujinga ni kuendelea kufagilia nyapu master.. endelea kupambania kombe tu
Tumia hasira za kutemwa kufanyakazu kwa bidiiBinti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara
Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Dah akaniambia mtaji wako ukifika milion kumi nitafuteDaah! Sasa wanataka tufanye nini?
Huku nje tunaambiwa Tafuta hela. Ukizitafuta unaambiwa bado unajitafuta😆😆😆
Acha masihara bwanaDah akaniambia mtaji wako ukifika milion kumi nitafute
Nitalifanyia kaziTumia hasira za kutemwa kufanyakazu kwa bidii
No! Your business still exists, Focus on it.A mission lost
This worksTumia hasira za kutemwa kufanyakazu kwa bidii
Ndugu.Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara
Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Mwanaume ni kichwa cha mwanamke. Kichwa hubeba maono, so focus mwache aendehizi nyuzi zimekuwa nyingi sasa sijui malaika nani huko amekanyaga waya..🤣
Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara
Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Nampongeza sana huyo binti. Vijana wazeni maendeleo sio kila muda kuwaza papuchi. Hayo maneno yake yawe chachu ya wewe kukaza na kusonga mbele. Au umeshaamua kuwa mfanyabiashara ndogondogo maisha yako yote?Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara
Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
mh! unanijibu mimi ama mweka mada..?Mwanaume ni kichwa cha mwanamke. Kichwa hubeba maono, so focus mwache aende
Utaiweza JF Kwa 👇"Baada ya wakinga kukataa mahari yangu niliamua haya yafuatayo"
Mkuu huyu ni mwingine?
Mupe muda badiBinti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara
Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
Ulisomesha ulihudumia? Mpende mama yako ndugu zako wapende sana WAFANYABIASHARA WENZAKO? tena shukuru umelijua mapemaTemana nae kaza ,warembo wapo wengi tu.
Nampongeza sana huyo binti. Vijana wazeni maendeleo sio kila muda kuwaza papuchi. Hayo maneno yake yawe chachu ya wewe kukaza na kusonga mbele. Au umeshaamua kuwa mfanyabiashara ndogondogo maisha yako yote