Natangulia shukrani kwa mwenye uzi kwa kututia moyo pia nina maswali machache ningeomba anisaidie:
- shamba ameliwekea uzio?
- umejenga nyumba yako ya kuishi kwenye shamba hilo?
- garama za ujenzi wa nyumba yako na miundombinu ya ufugaji na mifugo na chakula cha mifugo imekugarimu kiasi gani kwa jumla?

