- Thread starter
- #221
nakashina. Gwizi. Ne napalapa.Mwakashina mlongo!
Aisee, nitakupigia unipe maujanja, nimekuatamanije! Hongera sana kwa kazi nzuri, napenda sana ufugaji wa kuku, ila nilipokuaj mjini nikastop kwasasasa naanza tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakashina. Gwizi. Ne napalapa.Mwakashina mlongo!
Aisee, nitakupigia unipe maujanja, nimekuatamanije! Hongera sana kwa kazi nzuri, napenda sana ufugaji wa kuku, ila nilipokuaj mjini nikastop kwasasasa naanza tena.
nakashina. Gwizi. Ne napalapa.
Ninaendelea vyema. Mwezi huu tunategemea nguruwe kuanza kuzaa.Vipi unaendeleaje?
Nina kila sababu ya kukutembelea kuja kuona ufugaji.
samahani huko ekari inauzwa kiasi gani na umbali mpaka barabara kuu na usafiri ni mzuri wakati wa masika?Ninaendelea vyema. Mwezi huu tunategemea nguruwe kuanza kuzaa.
laki mbili. kutoka barabara kuu ya moro -dom ni km 7. ninazo heka 10 nitakuuzia.samahani huko ekari inauzwa kiasi gani na umbali mpaka barabara kuu na usafiri ni mzuri wakati wa masika?
Ninaendelea vyema. Mwezi huu tunategemea nguruwe kuanza kuzaa.
Kweli mkuu. Mwezi December nilitoa madume manne. Niliuza hapa kwa bei ya sh 4,000 kwa kilo. Ni hasara sana. kama unavyosema dar ndiyo kunakoweza kuwa na soko la uhakika. Ninasikia ni ubungo karibu na kwa mzee wa upako. Hata hivyo research ni muhimu. Nahaidi kukutembelea huko kwako. Tuwasiliane kwa Pm. Mimi nguruwe wangu wameanza kuzaa. Mwakani nategemea kuanza kuwatoa kwa fujo.mkuu nimekuwa nafuatilia mara kwa mara uzi huu, kwakweli unamanufaa sana, nami pia ni mdau kwa kiasi fulani naona ni kama tunafanana jinsi tulivyoanza, nie niko mkambalani njia ya dar, nilianza na nguruwe 30 kama ifuatavyo:- 2 madume yakuzalisha, 10 madume ya kuuza haya niliyahasi, 18 majike za kuzaa ili kuongeza tija.kwa sasa majike tayari yanamimba na mwezi wa pili yatazaa,madume nimeanza kuchinja , x-mass nilichinja 4 na kuuza. tatizo nililoliona ni bei ya kuuzia, hapa moro kunawanunuzi wajumlajumla wengi tu ila naona bei zao ni chini sana, wananunua kilo moja kwa Tshs 4,000/= - 4,200/= naona ni ndogo ukilinganisha nabei yao ya Tshs 6,000/= -7,000/= wanapokaanga. kwakuwa mimi bado ni muajiriwa inaniwia vigumu kuanza kuuza kwa rejareja/kukaanga. sasa naona suluhu pekee ni soko la dar, je,linapatikanaje? naomba anajelijuwa vizuri anisaidie , kwakuanzia nianze na hao madume 6 waliobaki ili niweze kujuwa soko.
Inategemea na eneo. Alizeti bila shaka itakutoa kama ni around town.Kwa sasa huko morogoro kama nataka kuanza kulima nianze kwa kulima zao gani ukizingatia na hali ya hewa ambayo ipo huko sasa....mimi ndo kwanza nataka kuanza ila nimekatishwa tamaa na mtu ambaye yupo huko anasema hali ya hewa kwa sasa haiko vizuri kwa kulima..plz wadau msaada hapa..
sijaona pm yako.Mkuu ebarhard nimekupm mkuu.
Kweli mkuu. Mwezi December nilitoa madume manne. Niliuza hapa kwa bei ya sh 4,000 kwa kilo. Ni hasara sana. kama unavyosema dar ndiyo kunakoweza kuwa na soko la uhakika. Ninasikia ni ubungo karibu na kwa mzee wa upako. Hata hivyo research ni muhimu. Nahaidi kukutembelea huko kwako. Tuwasiliane kwa Pm. Mimi nguruwe wangu wameanza kuzaa. Mwakani nategemea kuanza kuwatoa kwa fujo.
sijaona pm yako.
tuwasiliane. nimekupatia namba yangu kule kwenye pm.yani kadri navosoma hiz post nataman kadgree kangu haka niishie njian niende shamba kulima. Natamani sana kuingia kwenye kilimo ila tatizo ni shule inabana sana. Mkuu Ebernhad vp upatikanaji wa maeneo huko japo ni mwanafunzi naweza kujibana kwa boom japo nipande hata ekari moja ya miti