Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

Mwakashina mlongo!
Aisee, nitakupigia unipe maujanja, nimekuatamanije! Hongera sana kwa kazi nzuri, napenda sana ufugaji wa kuku, ila nilipokuaj mjini nikastop kwasasasa naanza tena.
nakashina. Gwizi. Ne napalapa.
 
samahani huko ekari inauzwa kiasi gani na umbali mpaka barabara kuu na usafiri ni mzuri wakati wa masika?
laki mbili. kutoka barabara kuu ya moro -dom ni km 7. ninazo heka 10 nitakuuzia.
 
Ninaendelea vyema. Mwezi huu tunategemea nguruwe kuanza kuzaa.

mkuu nimekuwa nafuatilia mara kwa mara uzi huu, kwakweli unamanufaa sana, nami pia ni mdau kwa kiasi fulani naona ni kama tunafanana jinsi tulivyoanza, nie niko mkambalani njia ya dar, nilianza na nguruwe 30 kama ifuatavyo:- 2 madume yakuzalisha, 10 madume ya kuuza haya niliyahasi, 18 majike za kuzaa ili kuongeza tija.kwa sasa majike tayari yanamimba na mwezi wa pili yatazaa,madume nimeanza kuchinja , x-mass nilichinja 4 na kuuza. tatizo nililoliona ni bei ya kuuzia, hapa moro kunawanunuzi wajumlajumla wengi tu ila naona bei zao ni chini sana, wananunua kilo moja kwa Tshs 4,000/= - 4,200/= naona ni ndogo ukilinganisha nabei yao ya Tshs 6,000/= -7,000/= wanapokaanga. kwakuwa mimi bado ni muajiriwa inaniwia vigumu kuanza kuuza kwa rejareja/kukaanga. sasa naona suluhu pekee ni soko la dar, je,linapatikanaje? naomba anajelijuwa vizuri anisaidie , kwakuanzia nianze na hao madume 6 waliobaki ili niweze kujuwa soko.
 
Kweli mkuu. Mwezi December nilitoa madume manne. Niliuza hapa kwa bei ya sh 4,000 kwa kilo. Ni hasara sana. kama unavyosema dar ndiyo kunakoweza kuwa na soko la uhakika. Ninasikia ni ubungo karibu na kwa mzee wa upako. Hata hivyo research ni muhimu. Nahaidi kukutembelea huko kwako. Tuwasiliane kwa Pm. Mimi nguruwe wangu wameanza kuzaa. Mwakani nategemea kuanza kuwatoa kwa fujo.
 
Nikweli mkuu , kwakuwa wote tupo moro ni rahisi kutembeleana na kubadirishana mawazo, karibu. natarajia kwanda Dar kufanya Savey ya masoko ili niwe na uhakika na kinachoendelea.
 
Ni kweli morogoro bei zao chini kidogo.ni vema kutafuta namna ya ku minimize costs.
1.Namna nyingine ni kutumia Law of increasing returns kwa kuongeza turn over.Ni kufuga wengi up to selling weight na kuwauza kwa pamoja.hapo hata kama margin ya profit ni kidogo per pig lakini overall profit inakuwa significant
2.njia nyingine ni kuuza kwa final consumer mwenyewe.hii inalipa zaidi ,eventually kila mfugaji anatakiwa kulenga hapo.eg.centre za kt choma,kwenye mahotel,makampuni ya kigeni:ina challenge lakini inabidi kulenga hapo
3.wanaonunua kwa soko la dar,bei zao nzuri kidogo kati ya 5500-6000 per kg.Lakini huhitaji uwe nao wengi 30 say ili aweze kupata unafuu kwenye transport.kwa sisi tunaofuga wa morogoro nadhani inawezekana ku-organize akakusanya kila farm kupata the required number.twaweza kuanza hivyo wakuu.inawezekana kupata average price ambayo ni reasonable kwa live weight.
 
Kwa sasa huko morogoro kama nataka kuanza kulima nianze kwa kulima zao gani ukizingatia na hali ya hewa ambayo ipo huko sasa....mimi ndo kwanza nataka kuanza ila nimekatishwa tamaa na mtu ambaye yupo huko anasema hali ya hewa kwa sasa haiko vizuri kwa kulima..plz wadau msaada hapa..
 
Inategemea na eneo. Alizeti bila shaka itakutoa kama ni around town.
 
kwa ujumla mazao mengi yanakubali hapa moro,inategemea mpango wako ni zao la biashara au chakula na wapi unapohitaji kuweka base yako. kama ni uelekeo wa kurudi dar mazao ni mahindi,ufuta,mtama,mbaazi,kunde nk, kama uelekeo ni Dom ni Alizeti mahindi mpunga na upandaji wa miti haza mitiki nk upande wa kilombero zaidi ni mpunga,ndizi na mitiki nk , upande wa mt Urugulu zaidi ni Matunda na mbogamboga.
 
pia masimu wa kilimo cha uhakika kwa moro ni February kwa sasa tumeanza kuandaa mashamba ,kinyume cha hapo ni kubahatisha,kwani kwa sasa kilimo cha vuri si chauhakika sana kama ilivyokuwa zamani.
 
Kweli mkuu. Mwezi December nilitoa madume manne. Niliuza hapa kwa bei ya sh 4,000 kwa kilo. Ni hasara sana. kama unavyosema dar ndiyo kunakoweza kuwa na soko la uhakika. Ninasikia ni ubungo karibu na kwa mzee wa upako. Hata hivyo research ni muhimu. Nahaidi kukutembelea huko kwako. Tuwasiliane kwa Pm. Mimi nguruwe wangu wameanza kuzaa. Mwakani nategemea kuanza kuwatoa kwa fujo.

naomba kuuliza. mabanda ya nguruwe ni muhimu kua na umeme? na mpk kuuzwa nguruwe mzima anakua na kilo kati ya ngap kwa kukadiria
 
yani kadri navosoma hiz post nataman kadgree kangu haka niishie njian niende shamba kulima. Natamani sana kuingia kwenye kilimo ila tatizo ni shule inabana sana. Mkuu Ebernhad vp upatikanaji wa maeneo huko japo ni mwanafunzi naweza kujibana kwa boom japo nipande hata ekari moja ya miti
 
tuwasiliane. nimekupatia namba yangu kule kwenye pm.
 
Back
Top Bottom