Hakuna kitu cha namna hiyo
Kwa sasa Uhuru na rutto ni chui na paka
Tangu uhuru alivyoshtuka kuwa jamaa alitaka kumbambika kesi kule The Hague alianza kukaa naye mbali
Kitendo cha ruto kusema hadharani kuwa kàtika uongozi hata entertain kitu kiitwacho hand shake ni prima facie evidence kuthibitisha kuwa yupo tayari kupambana na upinzani wa Raila na Uhuru katika uongozi wake
Hotuba ya makamu wake Rigathi Gashagwa wakati wa kuapishwa wa kuùshambulia vikali na hadharani uongozi wa uhuru na kusema sasa uhuru umepatikana , watu hawatafuatwa fuatwa na state security agencies kukamatwa hovyo na kudukiliwa ni ushahidi wazi kuwa Uhuru hakuwa pamoja nao kamwe.
Muda utaongea wote na makamu wake hawana koromeo watakuja kubwatuka mengi mbele ya safari na hidden secrets finally will be revealed