Dark days...Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake.
Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake.
Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.
Sisi tuliosoma Cuba tulijua mapema sanaaaa hiliRuto na Kenyatta ni marafiki, wamewahadaa wa Kenya kutimiza azma yao ya kuachiana uongozi, very smart move
Wengi watabisha. Ila hiyo ni true story.Ruto na Kenyatta ni marafiki, wamewahadaa wa Kenya kutimiza azma yao ya kuachiana uongozi, very smart move
Alimuondoa Maalim na watu wa Maalim wakamwondoa. Kwisha storyMafisadi na Mafia walimuondoa Mtu.
Hawezi hao ni maswahiba waliomchezea kitendawili mchezo mtakatifu.Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake.
Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake.
Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.
Mutu aliingia mjini kwa gia zoteMafisadi na Mafia walimuondoa Mtu.
Hakuna kitu cha namna hiyoVery blessed and talented fella!, Hapa kuna kitu hujakimanya.
Uhuru na Ruto hawakuwahi kugombana, ilikuwa ni gemu plan ya kumuweka Ruto madarakani. Kwa hiyo the self proclaimed Hustler, hana bifu na mtu wala hana wa kumfanyia kisasi.
Hata nami alinipa mashaka, mara tu alipotangazwa kuwa ameshinda. Alisema kuwa, serikali yake haitakuwa ya KUSHIKANA MIKONO NA WAPINZANI. Akadai hakuna haja ya kushirikiana nao, kama serikali iliyopita.Dogo anajifanya yeye ni mchambuzi nguli wa siasa za Kenya, kumbe bure tu.
Whatever!Hakuna kitu cha namna hiyo
Kwa sasa Uhuru na rutto ni chui na paka
Tangu uhuru alivyoshtuka kuwa jamaa alitaka kumbambika kesi kule The Hague alianza kukaa naye mbali
Kitendo cha ruto kusema hadharani kuwa kàtika uongozi hata entertain kitu kiitwacho hand shake ni prima facie evidence kuthibitisha kuwa yupo tayari kupambana na upinzani wa Raila na Uhuru katika uongozi wake
Hotuba ya makamu wake Rigathi Gashagwa wakati wa kuapishwa wa kuùshambulia vikali na hadharani uongozi wa uhuru na kusema sasa uhuru umepatikana , watu hawatafuatwa fuatwa na state security agencies kukamatwa hovyo na kudukiliwa ni ushahidi wazi kuwa Uhuru hakuwa pamoja nao kamwe.
Muda utaongea wote na makamu wake hawana koromeo watakuja kubwatuka mengi mbele ya safari na hidden secrets finally will be revealed