Mhhh...Baadhi Jf members wana akili kupitiliza. Ndio. wanaopanga ratiba za katibu mkuu kiongozi. Sio ajabu hata za nchi nzima. Wanajua nani alipaswa afanye nini kuliko wao wanavyojua kufanya yao.
Msamehe bure huyoTatizo unakurupuka tu bila kufuatilia huu uzi umepandishwa na nani?
Mkuu hujaweka hoja bali unalalamika tu.Ndio mkuu neno lako sio sheria lakini hoja yako pia haina mashiko hata kidogo. Marehemu ni lazima akumbukwe whatsoever na mzee wetu Bashiru alipaswa kwenda kama Chief Secretary.
In JF is where we dare to speak our minds freelyBaadhi Jf members wana akili kupitiliza. Ndio. wanaopanga ratiba za katibu mkuu kiongozi. Sio ajabu hata za nchi nzima. Wanajua nani alipaswa afanye nini kuliko wao wanavyojua kufanya yao. Yaani wamegeuza ule.msemo wa "mind you business" kuwa "mind others people business"
Mkuu, binadamu tu viumbe wa ajabu sana akiangalia mtiririko wa maneno ya mleta mada unaweza kudanganyika kirahisi kwamba ana nia kumsema vizuri Dk. Bashiru, kumbe hizo zilikuwa ni mbinu za kutaka kuwachota akili wasomaji kwanza, halafu baadae kabisa ndio ana reveal his true colour kwamba kumbe deep down mleta mada ni rabid hater wa Dk. B. Kakurwa ndio maana ame squander mega calories akijaribu ku demonise mtu wa watu ili mwisho wa siku Watanzania wamchukulie Dk. Bashiru kwamba kumbe sifa zake zote nzuri hazina maana kama anashindwa kuwakumbuka wafiwa na kuwajulia hali ndio atawajali Watanzania at large?? This is obviously a very crafty tactics za kujaribu kumuweka a monkey spanner Dk. Bashiru kwenye bright future ya Political carrier yake - hilo ndilo lengo lako kuu hasa husitufanye Watanzania hatuna akili za ku-smell a rat light years away.Hayo ni majungu tu ya asubuhi asubuhi kwanini bashiru na asiwe mtu mwingine?J
I am just speaking out my mind mkuu...Is right or wrong? Well, that's depends on individual definition of right and wrong
Sijampangia bali nimetoa ushauri tu mkuuKuna mambo siyo ya kupangiana...
Kwa sasa ni mtumishi wa serikali zamani alikuwa wa CCM pekeeNi mtumishe wa serikali tu lahasha (correction of error)
Okay mkuu."Alikuwa political figure and he was not a public servant"
Mtoa mada inamaana umeshindwa kujua Maana ya public servant? Bashiru alikuwa public servant kwasababu alikuwa kiongozi wa CCM ambao Ni Umma wa Watanzania.
Sawa mkuuLissu huita vitu kama hivi kuwa ni "none sense" ...
Sitaki ligi ya kubishana na weweEbu onesha sehemu niliposema kuwa "FAMILIA YA MAREHEMU WANAPASWA KUSAHAU MSIBA"
wapi nimetia neno familia ya marehemu ?
Mimi sibishani mkuu,najadili.Sitaki ligi ya kubishana na wewe
Mimi sio mwanasiasa mimi ni mzalendo tu mkuuAskari wa miguu na kada muaminifu wa ccm
ThanksWazo zuri sana