Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Baadhi Jf members wana akili kupitiliza. Ndio. wanaopanga ratiba za katibu mkuu kiongozi. Sio ajabu hata za nchi nzima. Wanajua nani alipaswa afanye nini kuliko wao wanavyojua kufanya yao. Yaani wamegeuza ule.msemo wa "mind you business" kuwa "mind others people business"
 
Baadhi Jf members wana akili kupitiliza. Ndio. wanaopanga ratiba za katibu mkuu kiongozi. Sio ajabu hata za nchi nzima. Wanajua nani alipaswa afanye nini kuliko wao wanavyojua kufanya yao.
Mhhh...
 
Kila anapoenda aweke kwenye mitandao? Inahitajika elimu kubwa sana kwa watu wa aina hii.
 
Ndio mkuu neno lako sio sheria lakini hoja yako pia haina mashiko hata kidogo. Marehemu ni lazima akumbukwe whatsoever na mzee wetu Bashiru alipaswa kwenda kama Chief Secretary.
Mkuu hujaweka hoja bali unalalamika tu.

By the way neno langu sio sheria.
 
Mbona kwenye msiba wa marehemu ni kama alikuwepo?
Huenda aliipa pole familia yake.
 
Baadhi Jf members wana akili kupitiliza. Ndio. wanaopanga ratiba za katibu mkuu kiongozi. Sio ajabu hata za nchi nzima. Wanajua nani alipaswa afanye nini kuliko wao wanavyojua kufanya yao. Yaani wamegeuza ule.msemo wa "mind you business" kuwa "mind others people business"
In JF is where we dare to speak our minds freely
 
Hayo ni majungu tu ya asubuhi asubuhi kwanini bashiru na asiwe mtu mwingine?J
Mkuu, binadamu tu viumbe wa ajabu sana akiangalia mtiririko wa maneno ya mleta mada unaweza kudanganyika kirahisi kwamba ana nia kumsema vizuri Dk. Bashiru, kumbe hizo zilikuwa ni mbinu za kutaka kuwachota akili wasomaji kwanza, halafu baadae kabisa ndio ana reveal his true colour kwamba kumbe deep down mleta mada ni rabid hater wa Dk. B. Kakurwa ndio maana ame squander mega calories akijaribu ku demonise mtu wa watu ili mwisho wa siku Watanzania wamchukulie Dk. Bashiru kwamba kumbe sifa zake zote nzuri hazina maana kama anashindwa kuwakumbuka wafiwa na kuwajulia hali ndio atawajali Watanzania at large?? This is obviously a very crafty tactics za kujaribu kumuweka a monkey spanner Dk. Bashiru kwenye bright future ya Political carrier yake - hilo ndilo lengo lako kuu hasa husitufanye Watanzania hatuna akili za ku-smell a rat light years away.

Wewe mtu wa ajabu sana, kwani ulitaka Bashiru afuatane na flying squad ya waandishi wa habari kwenda nyumbani kwa the late Engineer Kijazi kuwajulia hali wafiwa? Kumbuka si kila kiongozi/binadamu anaji involve kwenye publicity STUNTS zisizo kuwa na kichwa wala miguu,unaweza kuchukua a low profile kuwatembela wafiwa bila ya ku-draw uncessary attention, hapo kinacho matter ni kile ambacho muhusika kipo rohoni mwake na sio kufanya vitu ili waandishi wa habaria/media zikuone kwamba unajali. My opinion.
 
"Alikuwa political figure and he was not a public servant"
Mtoa mada inamaana umeshindwa kujua Maana ya public servant? Bashiru alikuwa public servant kwasababu alikuwa kiongozi wa CCM ambao Ni Umma wa Watanzania.
Okay mkuu.
 
Kwenye msiba sialikuepo acheni kukuza mambo.
 
Sitaki ligi ya kubishana na wewe
Mimi sibishani mkuu,najadili.

Bila shaka ulishindwa kuelewa ukaona ubambikie ati nimetia neno familia.

Uadilifu useme tu mkuu kuwa hukuelewa nilichokusudia na ulinizushia kwamba nimetia neno familia wakati hata sikusema hivyo.

Kujificha kivuri cha kuwa hutaki kubishana haikusaidii kuondoa tabia ya wewe kuzusha.

Unataki2a ukiri kuwa umenukuu vibaya ama umekosea ama umezUsha na huo ndo ustaarabu.
 
Back
Top Bottom