Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Mkuu una ushahidi au uhakika gani kwamba hajaenda/hataenda?

Sio Kila mtu huwa anafanya mambo mbele ya camera, mambo yanayofanyika ni mengi umma hauwezi kujua yote isipokuwa yale ya msingi.
Unafanya kazi CCM kama mimi?
 
Mkuu una ushahidi au uhakika gani kwamba hajaenda/hataenda?

Sio Kila mtu huwa anafanya mambo mbele ya camera, mambo yanayofanyika ni mengi umma hauwezi kujua yote isipokuwa yale ya msingi.
Yaani aende Tbc wakae kimya? Unaijua tbc wewe kweli? Au team diamond?
 
Mnafiki na mchawi hawana tofauti kubwa.
 
Kuwa muungwana ni kitu ambacho mtu anazaliwa nacho wala siyo elimu kama alivyo Bashiru,

Bashiru amejawa kiburi na dharau sana na ukichanganya na hayo madaraka aliyopewa ndiyo usiseme kabisa.
Mzee Bashiru naye pia ana mapungufu yake kama binadamu yeye sio malaika.
 
Xiaomi, techno, huawei ni mitandao ya makampuni makubwa ya simu. Katika soko la uchina kampuni ya apple inatafuta market share ya kutosha.
.
Wamezuia mahindi

Tunazuia blueband, pipi, kiwi, dawa ya meno. Tutatengeneza za kwetu na hii ni fursa kwa watanzania kuwekeza katika viwanda

Bwawa la umeme la julius nyerere linakaribia kukamilika


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…