Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
MhhhHaiwezekani tukampa urais huyo mnyambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhhhHaiwezekani tukampa urais huyo mnyambo
Vipi mkuu mbona unaguna?Mhhh
Kamdanganye kindergarten mkuuMimi sio mwanasiasa mimi ni mzalendo tu mkuu
Ulikuwa una maanisha comrade "Polepole"?Pepole
HakikaUlikuwa una maanisha comrade "Polepole"?
Hakuna kitu kama hichiUkute yy ndio alimroga
Unafanya kazi CCM kama mimi?Mkuu una ushahidi au uhakika gani kwamba hajaenda/hataenda?
Sio Kila mtu huwa anafanya mambo mbele ya camera, mambo yanayofanyika ni mengi umma hauwezi kujua yote isipokuwa yale ya msingi.
Yaani aende Tbc wakae kimya? Unaijua tbc wewe kweli? Au team diamond?Mkuu una ushahidi au uhakika gani kwamba hajaenda/hataenda?
Sio Kila mtu huwa anafanya mambo mbele ya camera, mambo yanayofanyika ni mengi umma hauwezi kujua yote isipokuwa yale ya msingi.
YesHajaenda kabisa
Unasemaje kada wa ccm!
Mzee Bashiru naye pia ana mapungufu yake kama binadamu yeye sio malaika.Kuwa muungwana ni kitu ambacho mtu anazaliwa nacho wala siyo elimu kama alivyo Bashiru,
Bashiru amejawa kiburi na dharau sana na ukichanganya na hayo madaraka aliyopewa ndiyo usiseme kabisa.
Wanyambo tabia zao zinajulikana ( baadhi yao )Mzee Bashiru naye pia ana mapungufu yake kama binadamu yeye sio malaika.
Ushawahi kumuona wala kusikia aliko?Umepandishwa na Askari wa Miguu
Ushawahi kumuona wala kusikia aliko?Umepandishwa na askari wa miguu
Kule jeshini sisi kikosi cha mizinga huwa tunawaita vyambo,mnatangulizwa muanze kufa kwanza nyie ili tuone ukubwa Wa vita ndo tunakuja nyuma na vifaa.Umepandishwa na askari wa miguu
Ndio uhuru wa kitanzania huu mkuuUhuru wa kujieleza.
Tanzania ndio nchi iliyojaa waungwana dunia nzimaNdio uhuru wa kitanzania huu mkuu
Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums
Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu sisi waafrika. He was supposed to go and condole the family of his predecessor.
Nina imani kubwa sana na utendaji kazi, hekima pamoja na busara za Dr. Bashiru Ally Kakulwa sio tu baada ya kuwa katibu mkuu wa CCM bali hata alipokuwa Mhadhiri Muandamizi katika taaluma ya Sayansi ya Siasa pale chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mzee Bashiru ni moja kati ya wanazuoni makini na hazina kubwa ambayo Mwenyezi Mungu amelijalia taifa hili la Tanzania.
Mnano tarehe 17 February 2021 Tanzania ilifikwa na msibwa mkubwa wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa wakati ule Mhe. Balozi John Kijazi. Kama ilivyo kawaida yetu sisi Watanzania, viongozi mbali mbali wa serikali pamoja na chama walifika ukumbi wa Karimjee kumuaga Mh. Balozi.
Hata kama Mzee Bashiru alikuwapo siku ya mazishi au wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Balozi Kijazi, basi alikuwapo pale kama kiongozi wa kisisasa yaaani katibu mkuu wa CCM na sio kama mtumishi wa umma/serikali aliyekalia kiti cha Kijazi (Katibu Mkuu Kiongozi). He was there as a political figure and not a public servant.
Kwa wale wadogo zangu wasiofahamu hii imekaa hivi, siku zote mtumishi anapokufa, hususan wa umma, anakuwa amekufa yeye lakini ofisi imebaki nikiwa na maana kwamba Balozi Kijazi alifariki lakini ofisi ya katibu mkuu kiongozi bado ilikuwepo, tofauti kabisa na ofisi za watu binafsi ambazo boss akifa basi na ofisi, kama ni duka, nayo inakufa.
Katika ofisi hiyo bila shaka kuna wafanyakazi wa kada mbalimbali waliokuwa chini yake, ambao sasa watakuwa chini ya mzee Bashiru, na bila shaka walifika moja kwa moja nyumbani kwa Hayati boss wao na kufikisha salamu za pole (sina uhakika lakini nina imani walifanya hivyo kutokana na utamaduni mwema wetu sisi watanzania) lakini ikumbukwe ya kwamba Pope John Paul II aliwahi kusema maneno haya "To maintain a joyful family requires much from both the parents and the children. Each member of the family has to become, in a special way, the servant of the others"
Mzee Bashiru as a new parent in the office (a new Chief Secretary) was supposed to serve his part the same way his children (fellow workmates in his new office) did to the ambassador Kijazi's family.
HUU NI MTAZAMO WANGU TU, NIPO TAYARI KUSAHIHISHWA (I STAND TO BE CORRECTED)
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.