Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Huyo jamaa ni kilaza tu hana ujinias wowote ule usimjaze bichwaWewe genius kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ni kilaza tu hana ujinias wowote ule usimjaze bichwaWewe genius kichwani
mhhhMkuu una ushahidi au uhakika gani kwamba hajaenda/hataenda?
Sio Kila mtu huwa anafanya mambo mbele ya camera, mambo yanayofanyika ni mengi umma hauwezi kujua yote isipokuwa yale ya msingi.
Sawa bossmajungu yasiokua na brain
Punguza kugonga madem wa Facebook. Ninakuonya kijana.Sawa boss
Umeandika utoto tu huumajungu yasiokua na brain
Unajua maana ya kukamilika wewe au bado upo ndotoni hapo busisi ferry?Xiaomi, techno, huawei ni mitandao ya makampuni makubwa ya simu. Katika soko la uchina kampuni ya apple inatafuta market share ya kutosha.
.
Wamezuia mahindi
Tunazuia blueband, pipi, kiwi, dawa ya meno. Tutatengeneza za kwetu na hii ni fursa kwa watanzania kuwekeza katika viwanda
Bwawa la umeme la julius nyerere linakaribia kukamilika
Hao ni vijana wa Ufipa
mhhh
Unashangaa nini tena mkuu?aluu
Anashangaa namna ulivyo kijana wa ajabu sanaUnashangaa nini tena mkuu?
Povu kama looooteMkuu una ushahidi au uhakika gani kwamba hajaenda/hataenda?
Sio Kila mtu huwa anafanya mambo mbele ya camera, mambo yanayofanyika ni mengi umma hauwezi kujua yote isipokuwa yale ya msingi.
Povu pasipo kuwa na hoja zenye mashiko huo ni umamaPovu kama loooote
Yes ila ninamkubali sana mzee Bashiru ni mstaarabu kweli kweli.Jamaa mara kawa mbunge aisee life ina speed sana
Kimaslahi ubungeJamaa mara kawa mbunge aisee life ina speed sana
Unaota mzee, Katibu mkuu kiongozi ndio mkono wa kushoto wa Rais uyo jamaa ndio incharge wa operations za Rais akiwa hayupo, KKM anakuwa very close na Rais kuliko hata VP na PMKimaslahi ubunge
Una
Maslahi mazuri zaidi kuliko huo
Ukatibu mkuu kiongozi.
Unaota au upo serious.yani ukae sehemu moja na Rais alafu ulipwe milioni 4 si itakuwa utani uwo.katibu mkuu kiongozi mshahara wake sio chini ya 20 milionKimaslahi ubunge
Una
Maslahi mazuri zaidi kuliko huo
Ukatibu mkuu kiongozi.