Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

!
20210407_172745.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Xiaomi, techno, huawei ni mitandao ya makampuni makubwa ya simu. Katika soko la uchina kampuni ya apple inatafuta market share ya kutosha.
.
Wamezuia mahindi

Tunazuia blueband, pipi, kiwi, dawa ya meno. Tutatengeneza za kwetu na hii ni fursa kwa watanzania kuwekeza katika viwanda

Bwawa la umeme la julius nyerere linakaribia kukamilika
Unajua maana ya kukamilika wewe au bado upo ndotoni hapo busisi ferry?
 
Kimaslahi ubunge
Una
Maslahi mazuri zaidi kuliko huo
Ukatibu mkuu kiongozi.
Unaota mzee, Katibu mkuu kiongozi ndio mkono wa kushoto wa Rais uyo jamaa ndio incharge wa operations za Rais akiwa hayupo, KKM anakuwa very close na Rais kuliko hata VP na PM
 
Kimaslahi ubunge
Una
Maslahi mazuri zaidi kuliko huo
Ukatibu mkuu kiongozi.
Unaota au upo serious.yani ukae sehemu moja na Rais alafu ulipwe milioni 4 si itakuwa utani uwo.katibu mkuu kiongozi mshahara wake sio chini ya 20 milion
 
Back
Top Bottom