Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Mkuu una ushahidi au uhakika gani kwamba hajaenda/hataenda?

Sio Kila mtu huwa anafanya mambo mbele ya camera, mambo yanayofanyika ni mengi umma hauwezi kujua yote isipokuwa yale ya msingi.
mhhh
 
Unajua maana ya kukamilika wewe au bado upo ndotoni hapo busisi ferry?
 
Kimaslahi ubunge
Una
Maslahi mazuri zaidi kuliko huo
Ukatibu mkuu kiongozi.
Unaota mzee, Katibu mkuu kiongozi ndio mkono wa kushoto wa Rais uyo jamaa ndio incharge wa operations za Rais akiwa hayupo, KKM anakuwa very close na Rais kuliko hata VP na PM
 
Kimaslahi ubunge
Una
Maslahi mazuri zaidi kuliko huo
Ukatibu mkuu kiongozi.
Unaota au upo serious.yani ukae sehemu moja na Rais alafu ulipwe milioni 4 si itakuwa utani uwo.katibu mkuu kiongozi mshahara wake sio chini ya 20 milion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…