Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Unaota mzee, Katibu mkuu kiongozi ndio mkono wa kushoto wa Rais uyo jamaa ndio incharge wa operations za Rais akiwa hayupo, KKM anakuwa very close na Rais kuliko hata VP na PM
Unajua scale yake ya mshahara au unaandika tu kufurahisha ubongo wako?!!!
 
Unaota au upo serious.yani ukae sehemu moja na Rais alafu ulipwe milioni 4 si itakuwa utani uwo.katibu mkuu kiongozi mshahara wake sio chini ya 20 milion
Ndio mnavyokuwa mnadanganyana wewe na wenzako mnapokuwa kijiweni mnavuta?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…