babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Katuliza boli tu anasoma mchezo, atarudi badaeYes ila ninamkubali sana mzee Bashiru ni mstaarabu kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katuliza boli tu anasoma mchezo, atarudi badaeYes ila ninamkubali sana mzee Bashiru ni mstaarabu kweli kweli.
Ndio hiyo tunapiga kelele yapunguzwe, maana sasa wajinga wote wako humo.Kimaslahi ubunge
Una
Maslahi mazuri zaidi kuliko huo
Ukatibu mkuu kiongozi.
Mbunge anapewa 11 Millions plusNdio hiyo tunapiga kelele yapunguzwe, maana sasa wajinga wote wako humo.
Plus Marupurupu mengine meeeengi dada yanguMbunge anapewa 11 Millions plus
Ninatamani sana kama ningeweza kuwa mwanasiasa na mimi nipige hizo mahela mazeePlus Marupurupu mengine meeeengi dada yangu
Umewaza kama mimi. Ninapenda sana pesa za wabunge kwa maana ni nyingi sanaNinatamani sana kama ningeweza kuwa mwanasiasa na mimi nipige hizo mahela mazee
Unajua scale yake ya mshahara au unaandika tu kufurahisha ubongo wako?!!!Unaota mzee, Katibu mkuu kiongozi ndio mkono wa kushoto wa Rais uyo jamaa ndio incharge wa operations za Rais akiwa hayupo, KKM anakuwa very close na Rais kuliko hata VP na PM
Ndio mnavyokuwa mnadanganyana wewe na wenzako mnapokuwa kijiweni mnavuta?!!Unaota au upo serious.yani ukae sehemu moja na Rais alafu ulipwe milioni 4 si itakuwa utani uwo.katibu mkuu kiongozi mshahara wake sio chini ya 20 milion
Wanasiasa wanafaidi sana mema ya nchi hiiPlus Marupurupu mengine meeeengi dada yangu
Wanafaidi au wanaiba mali za nchi. Mishahara yao ni minono mnooWanasiasa wanafaidi sana mema ya nchi hii
Walimu na maaskari ni watu wa muhimu sana ila hawalipwi kama wabungeWanafaidi au wanaiba mali za nchi. Mishahara yao ni minono mnoo
Hawa ni wengi na ukitaka kuwalipa kama wabunge pesa zitatosha kweli mkuu?Walimu na maaskari ni watu wa muhimu sana ila hawalipwi kama wabunge
Siku nikiwa Rais jambo la kwanza kufanya ni kupunguza mishahara ya wabunge.Wanafaidi au wanaiba mali za nchi. Mishahara yao ni minono mnoo
Wabunge wa CHADEMA watakuroga wee jamaaSiku nikiwa Rais jambo la kwanza kufanya ni kupunguza mishahara ya wabunge.
Ninahisi wewe ni mbunge na upo hapa kutetea wenzakoHawa ni wengi na ukitaka kuwalipa kama wabunge pesa zitatosha kweli mkuu?
Hakuna mbunge hata mmoja humu JF. Wengi humu waganga njaa tu kama mimiNinahisi wewe ni mbunge na upo hapa kutetea wenzako
Mbona mimi sigangi njaa nina pesa chafu?Hakuna mbunge hata mmoja humu JF. Wengi humu waganga njaa tu kama mimi
Yani umewaza kama mimi. Hivi kwani diwani analipswa pesa ngapi kwa mwezi?Ninahisi wewe ni mbunge na upo hapa kutetea wenzako
Diwani analamba kama 1M per monthYani umewaza kama mimi. Hivi kwani diwani analipswa pesa ngapi kwa mwezi?
Diwani wa nchi gani iyo ?Diwani analamba kama 1M per month