Comrade DD
Senior Member
- Apr 27, 2020
- 179
- 320
Ingekuwa milion 1 sizani Baba levo angekuwa anaenda kugongea msosi kwa Shilole kipindi kile kabla ajapata maisha wasafiDiwani analamba kama 1M per month
Labda baba Levo alikuwa anajinyima ili ajenge ndio maana akawa anagongea Menu kwa shishi babyIngekuwa milion 1 sizani Baba levo angekuwa anaenda kugongea msosi kwa Shilole kipindi kile kabla ajapata maisha wasafi
Mbona baba Levo na Shilole hawajawahi kuwa wapenzi? Nyie majamaa wazushi sana.Labda baba Levo alikuwa anajinyima ili ajenge ndio maana akawa anagongea Menu kwa shishi baby
Hivi Shilole si ndio yule aliyepata tenda ya kuuza chakula ndani ya Qatar Airways.Ingekuwa milion 1 sizani Baba levo angekuwa anaenda kugongea msosi kwa Shilole kipindi kile kabla ajapata maisha wasafi
Kile chakula sio cha mchezo mchezo ndugu.kupata ile tenda ni lazima mzigo uwe unasoma kwenye acount ili ukichelewesha tu basi unawalipa.Shilole hawezi kupata ile tenda ndugu, yalikuwa maneno ya kwenye vijiweHivi Shilole si ndio yule aliyepata tenda ya kuuza chakula ndani ya Qatar Airways.
Hivi Shilole si ndio yule aliyepata tenda ya kuuza chakula ndani ya Qatar Airways.
Acha uongo wewe. Shilole ana hadhi gani ya kuhudumia mashirika ya ndege za kimataifa?Mkataba uliisha February...kasaini mwingine na Ethiopians Airways
Shishi pesa zenyewe anazipata wapi kwa mfano? Bongo Movie mitaji bado ni midogo saaana.Kile chakula sio cha mchezo mchezo ndugu.kupata ile tenda ni lazima mzigo uwe unasoma kwenye acount ili ukichelewesha tu basi unawalipa.Shilole hawezi kupata ile tenda ndugu, yalikuwa maneno ya kwenye vijiwe
Wasanii wetu wapewe support badala ya kuchekwaShishi pesa zenyewe anazipata wapi kwa mfano? Bongo Movie mitaji bado ni midogo saaana.
Unamuonea wivu Shishi? Alafu ni mwanaume na p.um.b.u zakoAcha uongo wewe. Shilole ana hadhi gani ya kuhudumia mashirika ya ndege za kimataifa?
Baba Levo mlevi yule atawaza kujenga saa ngapi?Labda baba Levo alikuwa anajinyima ili ajenge ndio maana akawa anagongea Menu kwa shishi baby
Baba Levo hayupo wasafi yupo team KibaIngekuwa milion 1 sizani Baba levo angekuwa anaenda kugongea msosi kwa Shilole kipindi kile kabla ajapata maisha wasafi
Team Kiba wamepooza sana sijui kwa sababu hawana pesaBaba Levo hayupo wasafi yupo team Kiba
Baba Levo ni full Sober nimekaa naye sana Nyakato Mwanza ninamjua vema acha kumsingizia mkuuBaba Levo mlevi yule atawaza kujenga saa ngapi?
Baba Levo hajawahi kugongea misosi kwa mtu. Acha mumdhalilisha kaka yangu.Ingekuwa milion 1 sizani Baba levo angekuwa anaenda kugongea msosi kwa Shilole kipindi kile kabla ajapata maisha wasafi
Shilole muuza q.u.m.aKile chakula sio cha mchezo mchezo ndugu.kupata ile tenda ni lazima mzigo uwe unasoma kwenye acount ili ukichelewesha tu basi unawalipa.Shilole hawezi kupata ile tenda ndugu, yalikuwa maneno ya kwenye vijiwe
Aliwahihi kukuuzia K yake?Shilole muuza q.u.m.a
Chai tu hiiIngekuwa milion 1 sizani Baba levo angekuwa anaenda kugongea msosi kwa Shilole kipindi kile kabla ajapata maisha wasafi
Baba Levo f.a.l.a sana yule jamaa. Aliwahi kuninyang'anya tonge mdomoni.Labda baba Levo alikuwa anajinyima ili ajenge ndio maana akawa anagongea Menu kwa shishi baby
Baba Levo amemla sana Shishi na kumpa mimba kibaoMbona baba Levo na Shilole hawajawahi kuwa wapenzi? Nyie majamaa wazushi sana.