Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Kile chakula sio cha mchezo mchezo ndugu.kupata ile tenda ni lazima mzigo uwe unasoma kwenye acount ili ukichelewesha tu basi unawalipa.Shilole hawezi kupata ile tenda ndugu, yalikuwa maneno ya kwenye vijiwe
Shishi pesa zenyewe anazipata wapi kwa mfano? Bongo Movie mitaji bado ni midogo saaana.
 
Ingekuwa milion 1 sizani Baba levo angekuwa anaenda kugongea msosi kwa Shilole kipindi kile kabla ajapata maisha wasafi
Baba Levo hajawahi kugongea misosi kwa mtu. Acha mumdhalilisha kaka yangu.
 
Kile chakula sio cha mchezo mchezo ndugu.kupata ile tenda ni lazima mzigo uwe unasoma kwenye acount ili ukichelewesha tu basi unawalipa.Shilole hawezi kupata ile tenda ndugu, yalikuwa maneno ya kwenye vijiwe
Shilole muuza q.u.m.a
 
Back
Top Bottom