Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Huyu Mzee alikuwa na jeuri, majivuno na kiburi Cha kufa mtu.
Kama kawaida Mungu si Abdul Wala Mchengerwa,tarehe 29 October, Gen Z wa bunda walipiga kiberiti nyumba ya Mzee wasira.
Kwa aibu serikali na chama walijitahidii Sana hii habari isivume kwenye social network.
Baada ya kibanda chake kupigwa kiberiti Wasira Sasa kawa na adabu, juzi kwenye sherehe za chuo Cha mwl. Nyerere alitoa hotuba Kwa adabu saaana