HakuwepoWalikosea alitakiwa yeye huyu mzee ndiye achomwe moto iwe fundisho kwa wazee wengine wapuuzi kama yeye.
Nashangaa eti mtu uende na bango,TZ hii Ili tuheshimiane lazima kinuke aswaaa, CCM Lumumba ipigwe kiberitiKama hiyo ndiyo inamfanya awe na adabu wamchomee nyingine na ikibidi biashara zake na magari yake.
Hawasikii mpaka damu ziwatoke masikioni.
Wao wanajali miundombinu tu, watu wamekufa wamesema tuna lia lia tu, kwasababu 2001 wapemba walikufa.Nashangaa eti mtu uende na bango,TZ hii Ili tuheshimiane lazima kinuke aswaaa, CCM Lumumba ipigwe kiberiti
hata hivyo wewe ndo umesema na sio gen z wote.D9 TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI NA SI VYENGINEVYO.
Narudia tena kwa herufi kubwa na font nene nene
D9 TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI NA SI VYENGINEVYO.
Asante
Ss mbona wanakas kwenye mabati km wana mishahara ya maana?
Kazi ya kuingiza geneeration yako kwenye laana l
Labda kama umeanza kuyaona hayo mabati leo, hayo mabati ni ya mda sana miaka 2000 nyuma huko na nilichogundua wengi wao wanafanya hayo mabanda kama ya kubadilishia nguo wakiingia na kutoka kazini wengi wao wao wamepanga na kujenga njeSs mbona wanakas kwenye mabati km wana mishahara ya maana?
Kazi ya kuingiza geneeration yako kwenye laana kisa utii