G
guest-1790917349
Guest
Hivi kumbe watu wengi hawajui kuwa nyumba yake ilipigwa moto km tulia?Nini kilitokea?
Hivi kumbe watu wengi hawajui kuwa nyumba yake ilipigwa moto km tulia?Nini kilitokea?
Mwee na Tulia?Hivi kumbe watu wengi hawajui kuwa nyumba yake ilipigwa moto km tulia?
Kipindi hiki sijui watajigawaje maana kapaniwa sanaIle siku polis wanaolipwa laki 3 sijui 4 ,walizingira nyumba yake
Yaani polisi kazi ya kipuuzi sn sitaki kwenye familia yangu
We uko bongo? DuhMwee na Tulia?
Mkuu nilikuwa naomboleza, Ndio maana zile kauli mbofu mbofu za Mama Stand Still hazisikiki tenaWe uko bongo? Duh
Ila vijana wala hawataki fujo labdq polis ndo waanzisheKipindi hiki sijui watajigawaje maana kapaniwa sana
PoleMkuu nilikuwa naomboleza, Ndio maana zile kauli mbofu mbofu za Mama Stand Still hazisikiki tena
Aliikimbiza familia kuificha kwenye chuo cha St Joseph.Lipi lilimkuta huyu
Sasa hivi atakuwa amesha wapeleka kijijini huyuAliikimbiza familia kuificha kwenye chuo cha St Joseph.
Siku zote fujo zinaanzishwa na Polisi kama huamini subiri Dec 9 uone.Ila vijana wala hawataki fujo labdq polis ndo waanzishe
Hizi salamu zimfikie kamanda Muliro.
Nenda kapigeMpaka leo mimi sijaona nyumba iliyochomwa ya wasira wala muliro
Wekeni picha tuone....
Husipoiona basiMpaka leo mimi sijaona nyumba iliyochomwa ya wasira wala muliro
Wekeni picha tuone....
Huyu ataliwa kichwa tuAliikimbiza familia kuificha kwenye chuo cha St Joseph.
Tena kama yake mahema ya Mwamposa ni plastic tupu aache kiherehereMwamposa
Tutawafata uko ukokaondoa familia yake pale nyasubi
Hawo sikutofautiana kiitikadi. Mbona wametajwa hawo. Ni kwasababu wanasimamia haki kusiginwA. Na hawo ni miongoni mwa watu wanaofurahia madhila ya wananchi wacha na wao yawafike.Ndio sababu ya kupiga marufuku maandamano, Mtu mwenye akili timamu huwezi kufurahia kuharibu mali za watu kwakua mnatofautiana ki itikadi.
Enhe, Polisi wakishoot tutaendelea na maandamano yetu bila vurugu?Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu.
HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA.
HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA KUTUHARIBIA MAANDAMANO YETU YA AMANI.
Asante.
Note: Hata kama ikitokea baadhi ya waliotumwa na Watawala kufanya vurugu bado haiwapi Polisi mamlaka ya Kushoot binadamu.