Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
List hiyo ndogo sana. Ongeza.Huyu Mzee alikuwa na jeuri, majivuno na kiburi Cha kufa mtu.
Kama kawaida Mungu si Abdul Wala Mchengerwa,tarehe 29 October, Gen Z wa bunda walipiga kiberiti nyumba ya Mzee wasira.
Kwa aibu serikali na chama walijitahidii Sana hii habari isivume kwenye social network.
Baada ya kibanda chake kupigwa kiberiti Wasira Sasa kawa na adabu, juzi kwenye sherehe za chuo Cha mwl. Nyerere alitoa hotuba Kwa adabu saaana
Wafatao Wanaweza tembelewa D9
Nassoro Katuga
Jaji Mtungi
Piter Magoti
Huyu alitembelewa daah we acha ilikuwa shughuli siunamuona sasa hivi alivyoHizi salamu zimfikie kamanda Muliro.
Mbona huyu mwenzako Mto wa mbu anasema mtawatembelea watu kawaorodhesha?..D9 TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI NA SI VYENGINEVYO.
Narudia tena kwa herufi kubwa na font nene nene
D9 TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI NA SI VYENGINEVYO.
Asante
Lipi lilimkuta huyuHuyu alitembelewa daah we acha ilikuwa shughuli siunamuona sasa hivi alivyo
Bado hajatembelewa akae kwa kutulia, Kila mtu atafikiwa.Huyu alitembelewa daah we acha ilikuwa shughuli siunamuona sasa hivi alivyo
Lazima kiwakeBado hajatembelewa akae kwa kutulia, Kila mtu atafikiwa.
Nassoro Katuga akipona watafatwa wazazi wake uko shinyangaMbona huyu mwenzako Mto wa mbu anasema mtawatembelea watu kawaorodhesha?..
Vijana acheni huu ujuha Msije kujuta
Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu.Mbona huyu mwenzako Mto wa mbu anasema mtawatembelea watu kawaorodhesha?..
Vijana acheni huu ujuha Msije kujuta
vip wakianza kutupga risasi?D9 TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI NA SI VYENGINEVYO.
Narudia tena kwa herufi kubwa na font nene nene
D9 TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI NA SI VYENGINEVYO.
Asante
Alikuwa Mwanza kwenye hotel maarufu watu si wakajua yupo ndani, mwenye hotel kusikia fununu ikabidi apige simu serikalini maana hotel ile ilikuwa inachomwa, Jw ndo walimchomoa jamaa paleLipi lilimkuta huyu
Jibu langu huenda usilipende, lakini naomba nikwambie tu, Dunia inaona na hakuna haki iliyowahi kupokonywa.vip wakianza kutupga risasi?
Aione huyu nyumbu wenu Mto wa mbuWaandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu.
HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA.
HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA KUTUHARIBIA MAANDAMANO YETU YA AMANI.
Asante.
Note: Hata kama ikitokea baadhi ya waliotumwa na Watawala kufanya vurugu bado haiwapi Polisi mamlaka ya Kushoot binadamu.
Ndio sababu ya kupiga marufuku maandamano, Mtu mwenye akili timamu huwezi kufurahia kuharibu mali za watu kwakua mnatofautiana ki itikadi.Huyu Mzee alikuwa na jeuri, majivuno na kiburi Cha kufa mtu.
Kama kawaida Mungu si Abdul Wala Mchengerwa,tarehe 29 October, Gen Z wa bunda walipiga kiberiti nyumba ya Mzee wasira.
Kwa aibu serikali na chama walijitahidii Sana hii habari isivume kwenye social network.
Baada ya kibanda chake kupigwa kiberiti Wasira Sasa kawa na adabu, juzi kwenye sherehe za chuo Cha mwl. Nyerere alitoa hotuba Kwa adabu saaana
Wafatao Wanaweza tembelewa D9
Nassoro Katuga
Jaji Mtungi
Piter Magoti
Usimuite binadamu mwenzako Nyumbu Mkuu.Aione huyu nyumbu wenu Mto wa mbu
Nini kilitokea?Huyu alitembelewa daah we acha ilikuwa shughuli siunamuona sasa hivi alivyo
Ile siku polis wanaolipwa laki 3 sijui 4 ,walizingira nyumba yakeHizi salamu zimfikie kamanda Muliro.