PostGE2025 Baada ya kuchomewa nyumba yake kwenye MO29, Wasira Sasa kawa na adabu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ndio sababu ya kupiga marufuku maandamano, Mtu mwenye akili timamu huwezi kufurahia kuharibu mali za watu kwakua mnatofautiana ki itikadi.
Hawo sikutofautiana kiitikadi. Mbona wametajwa hawo. Ni kwasababu wanasimamia haki kusiginwA. Na hawo ni miongoni mwa watu wanaofurahia madhila ya wananchi wacha na wao yawafike.
 
Enhe, Polisi wakishoot tutaendelea na maandamano yetu bila vurugu?

Unawahakikishia vipi vijana hawatashambuliwa na maagent wa Seriksli?

Mimi nakupima sana na sentensi zako hizo na kushangaa namna unavyohubiri uamani kati kati ya hofu kubwa!

Nani amekuhakikishia Polisi hawatashoot?

Maandamano nayaunga mkono lakini si kwa 'barehand' nikijua, lolote laweza kutokea bro!

Toa maelezo ya kujitoshekeza uoneshe na alternatives za kuchukua uvunjifu wa amani ukiletwa na Polisi bhana!

Nakupa mfano:
Tukiwa vitani, seksheni kamanda wakati mnasonga mbele hutoa nerratives anavyofikiri namna hali ya mbele muendako inavyoweza kujitokeza.

Na tena huweka wazi kila jambo... 'Tukipigwa, seksheni itazigzag hatua tano, desh down na kuchunguza, rifle group itaendele na mapigo, bren group itasubiri amri yangu'... huo ni mfano.

Haiwezekani vijana walioandamana D29 waliuawa kizembezembe na sasa tena tuwasongeshe kwenye maandamano bila plan 'b'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…