PostGE2025 Baada ya kuchomewa nyumba yake kwenye MO29, Wasira Sasa kawa na adabu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mashekhe waachwe kiporo wasijesingizia ni wakatoliki hao tutawatafuta
Wao ndo walilianzisha kwamba watafyeka vichwa vya waandamanaji. Kwenye vita kauli ni moja tu, anayekutishia uhai yapaswa umuwahi.
Hao kifo ni halali yao.
 
Huyu Samia tunampataje ndugu zangu maana anaendelea kupumua mpaka muda huu.
Inasemekana MO29 walijificha na yule "chekacheka" kiwandani mtibwa!

Siku yaja atanaswa tu. Mi nimeandaa mkebe wa "UPUPU" ntamwagia sehemu zote nyevunyevu baada ya hapo ni mikwaju na mijeledi kabla hatujamfunga kwenye gari buruta hadi abaki mifupa.
 
D9 TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI NA SI VYENGINEVYO.

Narudia tena kwa herufi kubwa na font nene nene

D9 TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI NA SI VYENGINEVYO.

Asante
Hii tunaijua 🤣🤣🤣 polisi wote wataumwa hiyo siku ili wakikwepe kikombe
 
Ona lilivyotuna utafikri mjusi! Huyu bro sasa angestaafu tu sijui kwa nini anang'ang'ania ofisi. Sisi wadogo zake karibia tunastaafu yeye yupo tu kwa nini lakini? Kama mtakumbuka kuna siku bro. Magufuli alisema walikuwa wote JKT kwa majibu wa sheria wakajificha kwenye gunia. Sasa kama bro. Magu alikuwa wa mwaka 1959 huyu naye hakosekani humo!
 
Hakun maandamano ya AMANI ambayo yamekatazwa na POLISI.

Lazima Uweke akilini kua kama watu watatoka D9 sio maandamano, Ni vita against Polisi na Vibaraka wao
 
Alitembelewa mimi ndo nakwambia
Watu walienda kwa Murilo wakachezea chuma,mmoja kiganja kilisambaa,wakarudi walikotoka,hujui hata Murilo kwake wapi lakini unadai alichomewa nyumba,mara alikua mwanza,kamanda Kanda maalum dar awe mwanza siku ya tukio?!..hiyo 9D hakuna fala yeyote ataetoa tako lake barabarani
 
Hakun maandamano ya AMANI ambayo yamekatazwa na POLISI.

Lazima Uweke akilini kua kama watu watatoka D9 sio maandamano, Ni vita against Polisi na Vibaraka wao
Kule TISS kuna kikosi cha kupambana na ugaidi,mtakutana nao,halafu madowo ataonesha picha za satellite za shamba langu la bamia
 
Watawala watawatumia UVccm waliovaa nguo za kiraia kuvuruga maandamano!! Waangalieni kwa karibu watu watakaokuwa na silaha katikati ya maandamano ; wanatafuta sababu ya kuwasingizia waandamanaji!!
 
kweli ndo mnaita maandamano ya amani? kweli ? haya bana mtakipata mnachokitaka
 
Kama kawaida, mungu si.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…