Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi

Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi

Kishoka1

Member
Joined
Apr 27, 2024
Posts
8
Reaction score
54
Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari

Tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao lakini watoto amebaki nao

Hakika
 
Ndoa za kikristo ni changamoto sanaaa tena sanaaa

Yani m.me uchezee jua la kutosha kutafutia familia halafu mwisho wa siku 50/50 aaaaahhhh hili linaumiza sanaaa hivi mnalijua jua linavochoma nyie? Aaaaahhh
 
Hakikisha unakua na mawasiliano na watoto wako na usiache kuwahudumia,

Uwe unaweka ushahidi wa huduma zote unazowapa wanao,hasa risiti unapowanunulia mahitaji yao,hifadhi evidence yeyote ile inayohusu huduma kwa wanao,

Wanawake huwapa sumu watoto ili waje wamchukie Baba yao,hakikisha unahifadhi ushahidi wote pale unapowahudumia,wasije wakaambiwa uliwatelekeza,

Hope umepata somo kwenye maisha ya ndoa jinsi yalivyo,

Elekeza nguvu zako kwenye kuisaka hela na kuijali afya yako,

Good luck and All the Best.
 
Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari, tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao Lakini watoto amebaki nao

Hakika #NdoaNiUtapeli #KataaNdoa
Bia tatu tatu kwa kataa ndoa wote bili nitalipa mimi.
 
Back
Top Bottom