Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi

Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi

Ndoa za kikristo ni changamoto sanaaa tena sanaaa

Yani m.me uchezee jua la kutosha kutafutia familia halafu mwisho wa siku 50/50 aaaaahhhh hili linaumiza sanaaa hivi mnalijua jua linavochoma nyie? Aaaaahhh
😹😹😹 Mnapenda kujipa umuhimu..!!
Kwamba mkewe hakuwa na mchango wowote??
 
1757243906923.jpg
 
Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari, tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao Lakini watoto amebaki nao

Hakika #NdoaNiUtapeli #KataaNdoa
Umeichapa kwa miaka tisa 🫡
 
Back
Top Bottom