Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,322
- 10,177
Kwakua ni wewe nichukue bureMahari yako shingapi? 😹
Hao hizo ndio tabia zao tangu awaliWakuu ukiona wake za watu wanavyotafunwa hovyo hovyo unasema SIOOOOOOI.
Haya kusanya nguo zako jioni nakupitia mchumba 😉Kwakua ni wewe nichukue bure
Shukrani sana mkuu🙏Hakikisha unakua na mawasiliano na watoto wako na usiache kuwahudumia,
Uwe unaweka ushahidi wa huduma zote unazowapa wanao,hasa risiti unapowanunulia mahitaji yao,hifadhi evidence yeyote ile inayohusu huduma kwa wanao,
Wanawake huwapa sumu watoto ili waje wamchukie Baba yao,hakikisha unahifadhi ushahidi wote pale unapowahudumia,wasije wakaambiwa uliwatelekeza,
Hope umepata somo kwenye maisha ya ndoa jinsi yalivyo,
Elekeza nguvu zako kwenye kuisaka hela na kuijali afya yako,
Good luck and All the Best.
Unahisi kwa nini alianza kuwa na tabia hiyo ya kukunyima ngono?Moja kati ya sababu iliyofanya niachane na aliyekuwa mke wangu ni tabia yake ya kuninyima tendo la ndoa wakati anajua kabisa ni haki yangu ya msingi.
Alikuwambia sababu zipi alikufanya hakunyime?Moja kati ya sababu iliyofanya niachane na aliyekuwa mke wangu ni tabia yake ya kuninyima tendo la ndoa wakati anajua kabisa ni haki yangu ya msingi.
😁poleMoja kati ya sababu iliyofanya niachane na aliyekuwa mke wangu ni tabia yake ya kuninyima tendo la ndoa wakati anajua kabisa ni haki yangu ya msingi.