Baada ya kufanya utafiti kwa miaka 3, leo nimeconclude rasmi hamna njia yoyote ya kungiza hela bila kufanya chochote

Baada ya kufanya utafiti kwa miaka 3, leo nimeconclude rasmi hamna njia yoyote ya kungiza hela bila kufanya chochote

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Huu utafiti nimeufanya kwa muda mrefu au zaidi ya miaka mitatu na jibu nililopata ni kuwa hamna njia yoyote ya kupata hela bila kufanya kazi, yaani uamke asubuhi hela zianze kuingiia zenyewe bila kufanya kazi. Lakini pia nimegundua kuna njia nyepesi nyepesi za kupata hela na nyepesi kuliko zote ni utapeli. Wajinga wa kutapeliwa hawawezi kuisha kila siku wanakuja wapya.
 
Huu utafiti nimeufanya kwa muda mrefu au zaidi ya miaka mitatu na jibu nililopata ni kuwa hamna njia yoyote ya kupata hela bila kufanya kazi, yaani uamke asubuhi hela zianze kuingiia zenyewe bila kufanya kazi. Lakini pia nimegundua kuna njia nyepesi nyepesi za kupata hela na nyepesi kuliko zote ni utapeli. Wajinga wakutapeliwa hawawezi kuisha kila siku wanakuja wapya.
Chuma ulete je
 
Mkuu uliyoyaandika ni kweli tupu hasa kwa hawa watapeliwa, ni wengi mno na hawaishi.

Kiukweli kuna muda life linakupiga kikumbo hadi unakua Aisha mtamu facebook 😂😂, walau uwapige buku ten ten makolo wanaotuma na ya kutolea kwa kuona picha za kudowload tu.
 
Umechelewa kugundua hilo mkuu, tokea enzi na enzi hakuna hela inayopatikana bila kufanya chochote iwe cha heri ama Shari, na pia kina gharama ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
omba omba aliyeweka bakuli tu nakusubiri watu wadondoshe kitu.
 
Mkuu uliyoyaandika ni kweli tupu hasa kwa hawa watapeliwa, ni wengi mno na hawaishi.

Kiukweli kuna muda life linakupiga kikumbo hadi unakua Aisha mtamu facebook 😂😂, walau uwapige buku ten ten makolo wanaotuma na ya kutolea kwa kuona picha za kudowload tu.
ahahh haha
 
Back
Top Bottom