MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huu utafiti nimeufanya kwa muda mrefu au zaidi ya miaka mitatu na jibu nililopata ni kuwa hamna njia yoyote ya kupata hela bila kufanya kazi, yaani uamke asubuhi hela zianze kuingiia zenyewe bila kufanya kazi. Lakini pia nimegundua kuna njia nyepesi nyepesi za kupata hela na nyepesi kuliko zote ni utapeli. Wajinga wa kutapeliwa hawawezi kuisha kila siku wanakuja wapya.