Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

Wakala wa Rushwa Tanzania alikuwa JPM.
 
Aliua syndicate moja akatengeneza syndicate nyingine. Kila zama inakuwa na syndicate yake inayonufaika na utawala uliopo.
Kwenye kuvunja mfumo uliopo kuna mbinu zake za kimedani. JPM alikuwa kwenye transition period ambayo ni lazima uwe na watu wenye uwezo wa kufanya usafi kwa roho ngumu.
 
Yaani rais na mwenyekiti wa chama tawala azuiwe kukijenga chama chake upya na chama kingine tena cha upinzani?
Halafu, kwani mwenyekiti wa sasa anazuiwa kuendeleza dhamira ya JPM? Au naye ametokea upinzani?
Soma tena, haijaelewa.
 
Uchaguzi wa 2019 alisimamia Lisu pumbavu wewe?2020 Lisu alikuwa na Tume ya uchaguzi pumbavu wewe?COVID 19 Bungeni waliingizwa na Lisu pumbavu wewe?Vitu vingine acheni kama huna hoja tulia na kimya ni jibu.
 
Mzalendo UchwaraπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwenye kuvunja mfumo uliopo kuna mbinu zake za kimedani. JPM alikuwa kwenye transition period ambayo ni lazima uwe na watu wenye uwezo wa kufanya usafi kwa roho ngumu.
Ambao watu hao nao wamenufaika na syndicate yake kwa kuchukua mali za watu. Sasa hapo si sawa na kuua syndicate hii na kuunda nyingine. Kuna watu ambao walikuwa karibu naye ndani ya hiyo miaka 5 wana utajiri ambao hawawezi kukupa maelezo wameutoa wapi.
 
Uchaguzi wa 2019 alisimamia Lisu pumbavu wewe?2020 Lisu alikuwa na Tume ya uchaguzi pumbavu wewe?COVID 19 Bungeni waliingizwa na Lisu pumbavu wewe?Vitu vingine acheni kama huna hoja tulia na kimya ni jibu.
Punguza hasiri, Lissu anajua alichoambiwa na watu wa JPM, kazi aliyotaka kupewa.

Kwa hadaa za wanamtandao akaamua kuchagua alichochagua.
 
unajua ilikuwaje mpka JPM akawa raisi wa TZ? unaweza kukata tawi ulilokalia? alivyotaka kulikata ilikuwaje? yupo wapi? muangalie na yule mpuuzi wa kule kaskazini mnwisho wake utakuwajhe>
Kwa hiyo wewe unafurahia watu vihiyo kama wale walioko Korea kutuongoza?
 
Kwa takwimu zao CCM ni wengi kulilo wa vyama vyingine. Je hao wengi walimwelewa? Ilishindikana nn wengi wasiwameze wachache ili tuendelee vizuri. Hao wanaosema; Tunafungua nchi; je ilifungwa na nani?
 
Mkuu upinzani tena??? Si mwenyewe aliapa kuumaliza?? Ndugu yangu hakika ulishiba uongo na proganda ya mwendazake!
 
Umesema ukweli kabisa!
 
βœοΈπŸ“πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Mkuu wajinga kina nani??? Wananchi, Sisiemu au upinzani???
 
Kwa takwimu zao CCM ni wengi kulilo wa vyama vyingine. Je hao wengi walimwelewa? Ilishindikana nn wengi wasiwameze wachache ili tuendelee vizuri. Hao wanaosema; Tunafungua nchi; je ilifungwa na nani?
Hapo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…