Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

Umesema ukweli kabisa!
 
Asad alikuwa na yapi ambayo wengine hawayajui? One thing about jpm hakutaka kuwa exposed, na findings za asad zili expose mambo mengi mengine yalimgusa direct.

Although sehem nyingine alikwua yuko sawa ila hakuwa mkamilifu, alikuwa na madudu yake.
Asad aliondolewa kimagumashi ila aliibua a lot of things vinavyochafua taswirw ya serikali
 
Uchaguzi wa 2019 alisimamia Lisu pumbavu wewe?2020 Lisu alikuwa na Tume ya uchaguzi pumbavu wewe?COVID 19 Bungeni waliingizwa na Lisu pumbavu wewe?Vitu vingine acheni kama huna hoja tulia na kimya ni jibu.
Na isomeke hivyo kuwa mwanzilishi wa upumbavu Tanzania ni Magufuri.
 
Magufuri hakupenda ukweli alipenda uongo na kusifiwa sifiwa.
 
Ni vugumu kuvunja mfumo mbovu kwa kuweka utawala unao centre kwa mtu mmoja. Angelijikita kuunda taasisi imara ingeendeleza hayo mema aliyoyakusudia kwa taifa. Waliokuwa wasaidizi wake wa karibu ndiyo wanakwenda kinyume kabisa na aliyoyahubiri. Hapa duniani tu wapitaji, ni vizuri kujenga taasisi imara kuliko kiongozi mmoja imara ambaye yakimpata mambo yake mazuri yanakwenda naye.
 
Magufuri ni nani katika Tanzania hii?
Na isomeke hivyo kuwa kila mtu alizaliwa huru,hakuna mtu special zaidi ya wengine.(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 inasema hivyo katika ibara ya 12 na 13).Na pia inatoa mwongozo wa uongozi nchini ibara ya 8.
 
kwaiyo kujenga uwwnja wa ndege ndo wizi yaan mijitu ya hivi kuja kufunguka ni miaka 1000
 
..Magufuli alikuwa anajiandaa kubakia madarakani kwa muda mrefu sana.

..alitaka kuifanya Ccm kuwa mali yake, na kuuwa vyama vyote vya upinzani.

..baada ya hapo yeye na genge lake wangekuwa na HATI MILIKI ya kutawala Tanzania vile wanavyotaka.
 
..Magufuli alikuwa anajiandaa kubakia madarakani kwa muda mrefu sana.

..alitaka kuifanya Ccm kuwa mali yake, na kuuwa vyama vyote vya upinzani.

..baada ya hapo yeye na genge lake wangekuwa na HATI MILIKI ya kutawala Tanzania vile wanavyotaka.
Sio kweli kabisa, JPM hakuwa anafanya mambo yale peke yake. Kulikuwa na mpango maalum wa kuikomboa nchi, awali mpango huo uliwahusisha walidhaniwa kuwa wazalendo ndani ya vyama vya upinzani, lakini baadae wakagundulika kuwa ni vibaraka wa wanamtandao wa ufisadi nchini, na wengine ni wajinga kiasi cha kutumiwa na mafisadi na wanyonyaji bila wao kujua.

Hivyo ili kuleta mageuzi ya kweli ilikuwa ni lazima kuleta CCM mpya na vyama vipya vya upinzani vyenye wazalendo badala ya upuuzi huu uliopo.

Wewe unazionaje sarakasi za Mbowe na Zitto? Kuna vyama pale zaidi ya wapiga dili wa mjini wanao take advantage ya matumaini ya watu??
 

..mtu yeyote anayejaribu kuminya demokrasia hana nia njema na Tanzania.

..haiwezekani Magufuli na genge lake waamue kuunda chama tawala, na vyama vya upinzani, kwa namna wanavyotaka wao.
 
Nchi hii Inahitaji Maombi Na kukanyaga Mafuta. Anapoinuka kiongozi Mzalendo Na mwenye kuioigania nchi Yake Na walarushwa, Atachafuliwa sana.


Mfana Ndg Makonda.
Huyu bwana Anafanya vizuri sana pale Arusha.

Lakini wameinuka wanaojidai watetea haki za binadamu ndani ya chamq Na nje ya chama wakiwatumia pia waandishi njaa kumchafua ilitu Atolewe kwenye nafasi Na MH Rais.

Hapa utagundua nchi kupiga hatua kimaendeleo tutachukua miaka mingine zaidi ya 60 kufikia walau robo ya maendeleo ya wenzetu kwa kutokana Na baadhi ya viongozi Na vubaraka wao wanaonufaika Na Ufisadi wa rathilimali zetu.

Mimi nitamkumbuka sana Ndugu Magufuli Huyu Alikuja kutuvusha watanzania kutoka kwenye Utendaji mbovu Uzembe Na Mazoea kwenye utendaji wa serikali Na Kuifanya serikali kutimiza malengo kwa haraka Na Nidhamu ya mapato Na matumizi.

Mama Anajitahudi sana kuipushi nchi iende mbele hata kwa kukopa lakini swali Unaweka hizo fedha kwenye Mifuko IPI? Iliyoshonwa Au iliyotobolewa Na Panya?

# KAZI IENDELEE πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 

Acha uongo ,JIWE na yeye alikuwa FISADI kama mafisadi wengine.
 
Weka ushahidi kama huna usiongee tena mbele ya wanaume kwa sababu hatupendi umbeya

Umeanza kufatilia siasa lini? Haujui ufisadi alioufanya JIWE enzi zake? Ebu tuyaache mkuu ,unaweza uka-search humu ukayasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…