Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

Jiwe alikuwa anatengeneza mtandao wake wa wezi, na ndiyo maana alikuwa anawafukuza aliowakuta na kuweka watu wake.

Tena huyu jiwe ndiyo alikuwa mpuuzi zaidi maana alijenga serikali ya ukabila na ukanda na walifanya ufisadi mkubwa.

Bora alivyokufa
Umesema ukweli kabisa!
 
System ovu haivunjwi kwa kuchekacheka na watu, huyo Asad kuna mengi hamyajui kumhusu. Usione akina Zitto walikuwa mbelembele kumtetea ukadhani walifanya vile kwa uzalendo.

Mtandao wa wezi umekita mizizi sehemu zote muhimu, na kiini chake ni ndani ya chama tawala. JPM alitaka kufanya reset ya mfumo mzima wa nchi. Wajinga hawakumwelewa.
Asad alikuwa na yapi ambayo wengine hawayajui? One thing about jpm hakutaka kuwa exposed, na findings za asad zili expose mambo mengi mengine yalimgusa direct.

Although sehem nyingine alikwua yuko sawa ila hakuwa mkamilifu, alikuwa na madudu yake.
Asad aliondolewa kimagumashi ila aliibua a lot of things vinavyochafua taswirw ya serikali
 
Uchaguzi wa 2019 alisimamia Lisu pumbavu wewe?2020 Lisu alikuwa na Tume ya uchaguzi pumbavu wewe?COVID 19 Bungeni waliingizwa na Lisu pumbavu wewe?Vitu vingine acheni kama huna hoja tulia na kimya ni jibu.
Na isomeke hivyo kuwa mwanzilishi wa upumbavu Tanzania ni Magufuri.
 
Asad alikuwa na yapi ambayo wengine hawayajui? One thing about jpm hakutaka kuwa exposed, na findings za asad zili expose mambo mengi mengine yalimgusa direct.

Although sehem nyingine alikwua yuko sawa ila hakuwa mkamilifu, alikuwa na madudu yake.
Asad aliondolewa kimagumashi ila aliibua a lot of things vinavyochafua taswirw ya serikali
Magufuri hakupenda ukweli alipenda uongo na kusifiwa sifiwa.
 
System ovu haivunjwi kwa kuchekacheka na watu, huyo Asad kuna mengi hamyajui kumhusu. Usione akina Zitto walikuwa mbelembele kumtetea ukadhani walifanya vile kwa uzalendo.

Mtandao wa wezi umekita mizizi sehemu zote muhimu, na kiini chake ni ndani ya chama tawala. JPM alitaka kufanya reset ya mfumo mzima wa nchi. Wajinga hawakumwelewa.
Ni vugumu kuvunja mfumo mbovu kwa kuweka utawala unao centre kwa mtu mmoja. Angelijikita kuunda taasisi imara ingeendeleza hayo mema aliyoyakusudia kwa taifa. Waliokuwa wasaidizi wake wa karibu ndiyo wanakwenda kinyume kabisa na aliyoyahubiri. Hapa duniani tu wapitaji, ni vizuri kujenga taasisi imara kuliko kiongozi mmoja imara ambaye yakimpata mambo yake mazuri yanakwenda naye.
 
Magufuri ni nani katika Tanzania hii?
Na isomeke hivyo kuwa kila mtu alizaliwa huru,hakuna mtu special zaidi ya wengine.(Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 inasema hivyo katika ibara ya 12 na 13).Na pia inatoa mwongozo wa uongozi nchini ibara ya 8.
 
Separation of powers checks and balance. Huyo mnayemuita shujaa alivikisa hata yeye alikuwa mwizi tuuu. Kwanini alijenga uwanja wa ndege kwao bila kupitia bunge?

Kwanini alimtoa Asad kuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali? Tena baada ya kuhuji juu ya upotevu wa pesa?

Kwann alivibinya vyombo vya habari?

Tuache mihemko
kwaiyo kujenga uwwnja wa ndege ndo wizi yaan mijitu ya hivi kuja kufunguka ni miaka 1000
 
..Magufuli alikuwa anajiandaa kubakia madarakani kwa muda mrefu sana.

..alitaka kuifanya Ccm kuwa mali yake, na kuuwa vyama vyote vya upinzani.

..baada ya hapo yeye na genge lake wangekuwa na HATI MILIKI ya kutawala Tanzania vile wanavyotaka.
 
Sio kweli kabisa, JPM hakuwa anafanya mambo yale peke yake. Kulikuwa na mpango maalum wa kuikomboa nchi, awali mpango huo uliwahusisha walidhaniwa kuwa wazalendo ndani ya vyama vya upinzani, lakini baadae wakagundulika kuwa ni vibaraka wa wanamtandao wa ufisadi nchini, na wengine ni wajinga kiasi cha kutumiwa na mafisadi na wanyonyaji bila wao kujua.

Hivyo ili kuleta mageuzi ya kweli ilikuwa ni lazima kuleta CCM mpya na vyama vipya vya upinzani vyenye wazalendo badala ya upuuzi huu uliopo.

Wewe unazionaje sarakasi za Mbowe na Zitto? Kuna vyama pale zaidi ya wapiga dili wa mjini wanao take advantage ya matumaini ya watu??
 
..mtu yeyote anayejaribu kuminya demokrasia hana nia njema na Tanzania.

..haiwezekani Magufuli na genge lake waamue kuunda chama tawala, na vyama vya upinzani, kwa namna wanavyotaka wao.
 
Nchi hii Inahitaji Maombi Na kukanyaga Mafuta. Anapoinuka kiongozi Mzalendo Na mwenye kuioigania nchi Yake Na walarushwa, Atachafuliwa sana.

Mfana Ndg Makonda.
Huyu bwana Anafanya vizuri sana pale Arusha.

Lakini wameinuka wanaojidai watetea haki za binadamu ndani ya chamq Na nje ya chama wakiwatumia pia waandishi njaa kumchafua ilitu Atolewe kwenye nafasi Na MH Rais.

Hapa utagundua nchi kupiga hatua kimaendeleo tutachukua miaka mingine zaidi ya 60 kufikia walau robo ya maendeleo ya wenzetu kwa kutokana Na baadhi ya viongozi Na vubaraka wao wanaonufaika Na Ufisadi wa rathilimali zetu.

Mimi nitamkumbuka sana Ndugu Magufuli Huyu Alikuja kutuvusha watanzania kutoka kwenye Utendaji mbovu Uzembe Na Mazoea kwenye utendaji wa serikali Na Kuifanya serikali kutimiza malengo kwa haraka Na Nidhamu ya mapato Na matumizi.

Mama Anajitahudi sana kuipushi nchi iende mbele hata kwa kukopa lakini swali Unaweka hizo fedha kwenye Mifuko IPI? Iliyoshonwa Au iliyotobolewa Na Panya?

# KAZI IENDELEE 🏃🏃🏃🏃
 
Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio ndani, wape 10% zao.

Vigogo wa chama na serikali ndio wamehodhi biashara zote kubwa kubwa, na wanafanya biashara hizo kwa njia zisizo halali.

Imagine wewe ni afisa wa serikali unapigiwa simu kuwa huo ni mzigo wa mheshimiwa fulani fanya wepesi. Ukileta ubishi basi kesho unajikuta umepigwa uhamisho kwenda chakechake huko. Anayekuja kuchukua nafasi yako lazima akae kwenye mstari!

Haya ni matokeo ya asili ya historia yetu ya mfumo wa kidikteta wa chama kimoja. Kwenye nchi zote zenye mifumo hiyo basi rushwa, ufisadi na wizi huwa unafanywa na vigogo wa chama na serikali. Mifano hai kwa sasa ni China na Urusi, mafisadi wao ni vigogo serikalini kama sisi huku.

Baada ya mzalendo JPM kuingia magogoni, kwanza alijaribu kupambana na wezi hao huko huko ndani ya chama, lakini baadae alishauliwa kwa usahihi kabisa kuwa ili kuivunja network ya waandamizi wezi basi ni lazima ajenge CCM mpya kabisa.

Na alitaka kuwavuta wazalendo kutoka nyanja zote kama vile vyama vya upinzani, taasisi za elimu ya juu, vyombo vya ulinzi na usalama N.K ili kuumaliza kabisa ule mfumo wa zamani.

Mwisho wa siku aliangushwa na watu ambao hakutarajia wangemwangusha, vyama vya upinzani! Kundi hili lilitumiwa na wana mtandao kuhujumu juhudu za JPM tena wengi wao bila hata ya wenyewe kujua.

Mwisho wa siku tuko hapa tulipo. Ndugu zangu wa upinzani ukiwemo Tundu Lissu haya mliyataka wenyewe. Natumaini mioyo yenu imejaa furaha namna nchi inavyoendeshwa kwa sasa.

Acha uongo ,JIWE na yeye alikuwa FISADI kama mafisadi wengine.
 
Weka ushahidi kama huna usiongee tena mbele ya wanaume kwa sababu hatupendi umbeya

Umeanza kufatilia siasa lini? Haujui ufisadi alioufanya JIWE enzi zake? Ebu tuyaache mkuu ,unaweza uka-search humu ukayasoma.
 
Back
Top Bottom