Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29 Maajabu sasa watu tuliotegemea wamejifunza kutona na tukio la October 29 wako busy na propaganda mara vijana wamelipwa kwa hiyo watanzania vijana hawana akili ya kudai HAKI zao? Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya kwamba MATATIZO yetu hayapo kwamba hii nchi haina matatizo yanayoweza kupelekea vijana kuingia barabarani? Kwanini hamtaki kukubali kwamba Mauji, Utekaji, Rushwa, Ufisadi, HAKI ya kuchagua Viongozi ndo imetupelekea kutokea mauji ya October 29? Endeleeni kujidanganya wenyewe kwa Kuteuana kwenye hizo Tume na kupeana maagizo na kujidanganya kwamba watanzania ni wajinga hawajui haki zao mpaka wapewe pesa ndo wanaingia barabarani. Endeleeni kujidanganya kwamba Matatizo yetu yanaweza kutatuliwa kwa kujidanganya kwamba hayapo Ni kiasi gani cha pesa unaweza kulipwa uende kutoa uhai wako hiyo pesa inatosha kiasi gani? Kwasababu mmezoea kuonga watu kupitia kanga, vitenge, kofia, Baiskeli, basi mnafikiri kila mtu anaweza kulipwa ujila mdogo kutoa uhai wake. Hitimisho fanyieni kazi malalamiko ya wananchi propaganda hizi haziwezi kusandia kitu huwezi kuficha moto Moshi utakumbua kwa nini tuendelee kujidanganya?
 
Huyo kiziwimkazi ameshabanwa sehemu zote ameshokosea upenyo wakutokea anatapatapa tu kama kunguru, angekua na akili angenyamanza
 
Mara eti vijana walilipwa mara eti kauli za viongozi na vyama pinzani vichunguzwe ivi ukiwa na akili wewe mwenzew umesababisha mauaji halafu unatoa masharti na maelekezo kwa tume batili na unalenga watu
 
Hawa bado wanafanya siaza za mwaka 1940's,wanaleta propaganda kwa kizazi hiki cha technology. Siasa zai za miaka hiyo Jiwe unaambiawa sio jiwe ni kiazi na watu wanakuamini.
 
Tunajidanganya kwa maslahi ya nani?
 
Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29 Maajabu sasa watu tuliotegemea wamejifunza kutona na tukio la October 29 wako busy na propaganda mara vijana wamelipwa kwa hiyo watanzania vijana hawana akili ya kudai HAKI zao? Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya kwamba MATATIZO yetu hayapo kwamba hii nchi haina matatizo yanayoweza kupelekea vijana kuingia barabarani? Kwanini hamtaki kukubali kwamba Mauji, Utekaji, Rushwa, Ufisadi, HAKI ya kuchagua Viongozi ndo imetupelekea kutokea mauji ya October 29? Endeleeni kujidanganya wenyewe kwa Kuteuana kwenye hizo Tume na kupeana maagizo na kujidanganya kwamba watanzania ni wajinga hawajui haki zao mpaka wapewe pesa ndo wanaingia barabarani. Endeleeni kujidanganya kwamba Matatizo yetu yanaweza kutatuliwa kwa kujidanganya kwamba hayapo Ni kiasi gani cha pesa unaweza kulipwa uende kutoa uhai wako hiyo pesa inatosha kiasi gani? Kwasababu mmezoea kuonga watu kupitia kanga, vitenge, kofia, Baiskeli, basi mnafikiri kila mtu anaweza kulipwa ujila mdogo kutoa uhai wake. Hitimisho fanyieni kazi malalamiko ya wananchi propaganda hizi haziwezi kusandia kitu huwezi kuficha moto Moshi utakumbua kwa nini tuendelee kujidanganya?
Mkuu toa Baada weka Badala
 
Haya Majizi hayawezi kujifunza kitu mkuu,Utekaji safari hii utakuwa zaidi ya kipindi kabla ya Uchaguzi!

Kwa Uongozi wa Samia na Genge lake la Majambazi usitegemee Kuna kupona!

Hii nchi wananchi tusipomua Kwa Vitendo tutaumia sana hadi tukome!

Magufuli kumbe walimsingizia tu kwamba ni dikteta hila hili Zimwi ni Zaidi ya Kim Jong
 
Hakuna mwaka CHADEMA wamejua kucheza na akili za hawa jamaa kama huu.

Hili zigo la mavi wangeangushiwa CHADEMA asee. Saa hizi wanaweweseka tu, mara wageni, mara wahuni, mara NGO, kam wehu.

Kila siku nilikiuwa nasema Ccm siku itapogundua mpinzania wake sio CHADEMA ni wananchi wenyewe itakuwa too late.

Msiwe na wasisi Watanzania, Shetani anaelekea kuanguka.
 
Back
Top Bottom